Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

No sh!t..! Thought only chicken heads do that.

Anyway, I learned a while ago that in this digital world you gotta watch sh!t you say in "private". Cuz people will do almost anything for some cyber glory.

You gotta be really careful what you share in private, there's no privacy at all. Some are headless chicks, wanaweza kuambiana upuuzi hadi ushangae. Kuna mmoja huyo kila nikikumbuka natamani nikutane nae smwh nimle konzi balaa.
 
Watu wa jf mna unyanyapaa wa hali ya juu, yaani wengine hadi wanaomba namna ya kufunga pm, wakati wengine hata pm hewa hatujawahi kupata, Mungu anawaona.
Yaani Heaven Sent hata wewe dota hujawahi kunitumia pm!!
 
Ahahaaaa...tell me about it!

Kuna wengine wazushi na waongo sana aisee.

Mtu anakuzushia jambo hadi unaanza kutilia mashaka akili yake kama iko timamu.
 
mnatuchanganya na akili zenu yaani kuna comment unaanza kumfikiria huyo mtumaji unajikuta mwenyewe wataman tu japo awe rafiki
 
Wengine hawafai kufanya friendship, hawafai kushare nao mambo, hawafai hata kupiga nao story huko pm. Ni wakubwa wa umri lakini utoto mwingi kichwani.

hahhahahahahahahahhah kumbe ila Everlin alisema yeye ni mtam
 
Watu wa jf mna unyanyapaa wa hali ya juu, yaani wengine hadi wanaomba namna ya kufunga pm, wakati wengine hata pm hewa hatujawahi kupata, Mungu anawaona.
Yaani Heaven Sent hata wewe dota hujawahi kunitumia pm!!
Hahahhh
 
Wengine hawafai kufanya friendship, hawafai kushare nao mambo, hawafai hata kupiga nao story huko pm. Ni wakubwa wa umri lakini utoto mwingi kichwani.
Hahahhh umewajuaje lkn kama wana tabia hizo
 
Back
Top Bottom