RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Mkifunga tutawatongoza vipi?!Hahahaaaaaaa!! Na kwanini wasifunge?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkifunga tutawatongoza vipi?!Hahahaaaaaaa!! Na kwanini wasifunge?
Thanks my sweetheart[emoji8]
Tongozo la hadharani ndio tamu.Mkifunga tutawatongoza vipi?!
Hahahaaa! Eti ufungaji hewa!Sasa usije ukawa hujawahi sumbuliwa hata na kameseji kamoja then ujidai kufanya ufungaji hewa
No sh!t..! Thought only chicken heads do that.
Anyway, I learned a while ago that in this digital world you gotta watch sh!t you say in "private". Cuz people will do almost anything for some cyber glory.
You gotta be really careful what you share in private, there's no privacy at all. Some are headless chicks, wanaweza kuambiana upuuzi hadi ushangae. Kuna mmoja huyo kila nikikumbuka natamani nikutane nae smwh nimle konzi balaa.
Hahahaaaaa!! Kwani wewe hutaki kufunga?Wewe mtoa mada umetuletea balaa.....angalia sasa kila mmoja anataka kufunga PM!!!!
Hahahaaaaa!! Yo nuts!Acha tu, Mambo, shwari, mzima, fresh, za siku.... Hadi unawaza huyu ni fyatu au?
Wengine hawafai kufanya friendship, hawafai kushare nao mambo, hawafai hata kupiga nao story huko pm. Ni wakubwa wa umri lakini utoto mwingi kichwani.mnatuchanganya na akili zenu yaani kuna comment unaanza kumfikiria huyo mtumaji unajikuta mwenyewe wataman tu japo awe rafiki
Wengine hawafai kufanya friendship, hawafai kushare nao mambo, hawafai hata kupiga nao story huko pm. Ni wakubwa wa umri lakini utoto mwingi kichwani.
HahahhhWatu wa jf mna unyanyapaa wa hali ya juu, yaani wengine hadi wanaomba namna ya kufunga pm, wakati wengine hata pm hewa hatujawahi kupata, Mungu anawaona.
Yaani Heaven Sent hata wewe dota hujawahi kunitumia pm!!
Nimefunga lkn PM zinakuja sijui kwa nn
Hahahhh umewajuaje lkn kama wana tabia hizoWengine hawafai kufanya friendship, hawafai kushare nao mambo, hawafai hata kupiga nao story huko pm. Ni wakubwa wa umri lakini utoto mwingi kichwani.