Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Mkuu niachie mzigo huo... najipanga kikamilifu hapa...
Mkuu utaweza kumwaga sera nzito kweli? angalia usije ukanilet down, ngoja nikuachie maana mimi najijua nina sumu kali sana.
 
Yaaaan mtu na midevu yako unakaa kupoteza muda kwenda pm za jinsia ke jf [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] daaa Kaz mnayo Endeleeni
 
nipe nafasi hiyo mtoto mzuri nikupe penzi motomoto ama nini! hawa vijana wadogo hawachelewi kukuacha solemba km alivyofanya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ushachelewa sasaa...!!

niko occupied!!
 
Back
Top Bottom