nimeiona sijui ata nakosea wapiNaona ya kwangu imepenya..
Huyu bado mshamba,Wanafungaje eti?
You gotta be really careful what you share in private, there's no privacy at all. Some are headless chicks, wanaweza kuambiana upuuzi hadi ushangae. Kuna mmoja huyo kila nikikumbuka natamani nikutane nae smwh nimle konzi balaa.
Binamu swaga zako zimeenda school na zimegraduateKumbe....!
Kama zee moja humu jitu zima yani kuchat nalo tena kikawaida basi litascreenshot wee litatuma kwa watu, watu wengine sijui akili zipo kwenye mattako, kuna mimtu inakeraWengine hawafai kufanya friendship, hawafai kushare nao mambo, hawafai hata kupiga nao story huko pm. Ni wakubwa wa umri lakini utoto mwingi kichwani.
Kumbe mpk wanascreenshotKama zee moja humu jitu zima yani kuchat nalo tena kikawaida basi litascreenshot wee litatuma kwa watu, watu wengine sijui akili zipo kwenye mattako, kuna mimtu inakera
Ni kweli, unafanya screenshots unashare na wengine ili iweje!Kama zee moja humu jitu zima yani kuchat nalo tena kikawaida basi litascreenshot wee litatuma kwa watu, watu wengine sijui akili zipo kwenye mattako, kuna mimtu inakera
Wasengerema kweli, eti fulani nishagonga!! Nyokolooo maybe on their dreams!Kama zee moja humu jitu zima yani kuchat nalo tena kikawaida basi litascreenshot wee litatuma kwa watu, watu wengine sijui akili zipo kwenye mattako, kuna mimtu inakera
Tena kuwa makini ntakuambia jina la huyo jamaa anapenda kujifanya mtu wa watu, rafiki, atakupa umbea wa watu na screen shot juu.... Hata ukimwambia good morning ana screen shot afu hata huwezi dhani ni jinga hivoKumbe mpk wanascreenshot
Aisee yaani umeniogopesha mama angu kumbe kuna mijitu kama mitoto umuTena kuwa makini ntakuambia jina la huyo jamaa anapenda kujifanya mtu wa watu, rafiki, atakupa umbea wa watu na screen shot juu.... Hata ukimwambia mambo ana screen shot afu hata huwezi dhani ni jinga hivo
Hapo sasa...Ni kweli, unafanya screenshots unashare na wengine ili iweje!
zaidi ya utoto ata kama umegonga vinahusiana nn kuongea kwa wengineWasengerema kweli, eti fulani nishagonga!! Nyokolooo maybe on their dreams!
jaribu mpesa uone kama napo pako locked
Ha ha ha ha story zote ziishe hapa jukwani tu asee don dare kuchat na watu ukiwa na roho nyepesi utakimbia jf utuache wenye mioyo ya zegeAisee yaani umeniogopesha mama angu kumbe kuna mijitu kama mitoto umu
Hahaha, afu sasa naja kukutongoza tu, nishachoka. Ili upate cha kuscreenshot!!Hapo sasa...
Ila msg zetu mie siscreen shot 😀
hatareeHa ha ha ha story zote ziishe hapa jukwani tu asee don dare kuchat na watu ukiwa na roho nyepesi utakimbia jf utuache wenye mioyo ya zege