Ooh kumbe na wao wanatuma PM za mitongozo?!Can't be too careful, specially humu. Nimeshawapotezea watu kadhaa, ambao pengine walikuwa na genuine intents, ila ndio huwezi kujua.
Haha sasa na wewe unataka kufanya ufungaji hewa au? Maana pm hupati ila unatishia kufunga na wewe. Basi ngoja nikutumie pm moja afu uscreenshot na wewe,Watu wa jf mna unyanyapaa wa hali ya juu, yaani wengine hadi wanaomba namna ya kufunga pm, wakati wengine hata pm hewa hatujawahi kupata, Mungu anawaona.
Yaani Heaven Sent hata wewe dota hujawahi kunitumia pm!!
Imebidi tu nitishie maana tafanyaje sasa, nitumie aiseee, hapa nipo standby kuscreen shot.Haha sasa na wewe unataka kufanya ufungaji hewa au? Maana pm hupati ila unatishia kufunga na wewe. Basi ngoja nikutumie pm moja afu uscreenshot na wewe,
Shem darling I hope kwamba umemwambia mdogo ako kuwa me nimezeeka akili hadi matendo, so asiogope kabisa kunijaribu tehWengine hawafai kufanya friendship, hawafai kushare nao mambo, hawafai hata kupiga nao story huko pm. Ni wakubwa wa umri lakini utoto mwingi kichwani.
Wewe vipi zile PM hujazi-screenshot?!Alafu eti wanajiita wanaume, aisee job true true.
Kwani wewe haujawahi kutongozwa?Ooh kumbe na wao wanatuma PM za mitongozo?!
Zipi hizo ndugu yangu, mie mnaninyanyapaa hata pm hamnitumii.Wewe vipi zile PM hujazi-screenshot?!
Ila kweli age has nothing to do with maturity. Sasa mtu anascreenshot hadi salamu khaaaaImebidi tu nitishie maana tafanyaje sasa, nitumie aiseee, hapa nipo standby kuscreen shot.
Mimi papuchi lazima niitolee jasho, sura sina,hela sina unategemea nini zama hizi?!Kwani wewe haujawahi kutongozwa?
Alafu eti mwanaume!! Khaah umbea suna ila kwa mtoto wa kiume tena libaba jitu zima ni aibu.Ila kweli age has nothing to do with maturity. Sasa mtu anascreenshot hadi salamu khaaaa
Hivi hajatuma msg bado? Huyu dogo anakuwa domo zege huyu!!!Shem darling I hope kwamba umemwambia mdogo ako kuwa me nimezeeka akili hadi matendo, so asiogope kabisa kunijaribu teh
Zile nilizokutumia.....pages nne salamu tu!Zipi hizo ndugu yangu, mie mnaninyanyapaa hata pm hamnitumii.
Wanawake ni wambea, ila usiombe mwanaume awe mmbea heheAlafu eti mwanaume!! Khaah umbea suna ila kwa mtoto wa kiume tena libaba jitu zima ni aibu.
Jamani kwanini lakini hauna hela?? Wakati mwalimu Heaven Sent anakumendea kweli.Mimi papuchi lazima niitolee jasho, sura sina,hela sina unategemea nini zama hizi?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]jaribu mpesa uone kama napo pako locked
Ulituma wapi mbona sijaziona? Au mods wananifanyia hujuma!!Zile nilizokutumia.....pages nne salamu tu!
Hahahaaaa!!! Eti nipo naliemagine hilo libaba linavyoscreen shot salamu.Wanawake ni wambea, ila usiombe mwanaume awe mmbea hehe