Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

shunie aniomba laki moja, 'bulifakini'(nimemkumbuka bibi yangu ndio lilikuwa tusi lake sijui hata kama alikuwa anajua anachotukana)
Hahahhh eenh ajipange sio aje kulialia ooh niliombwa elf 50 ya tax mana ndio zao
 
Watu wa jf mna unyanyapaa wa hali ya juu, yaani wengine hadi wanaomba namna ya kufunga pm, wakati wengine hata pm hewa hatujawahi kupata, Mungu anawaona.
Yaani Heaven Sent hata wewe dota hujawahi kunitumia pm!!
Haha sasa na wewe unataka kufanya ufungaji hewa au? Maana pm hupati ila unatishia kufunga na wewe. Basi ngoja nikutumie pm moja afu uscreenshot na wewe,
 
Haha sasa na wewe unataka kufanya ufungaji hewa au? Maana pm hupati ila unatishia kufunga na wewe. Basi ngoja nikutumie pm moja afu uscreenshot na wewe,
Imebidi tu nitishie maana tafanyaje sasa, nitumie aiseee, hapa nipo standby kuscreen shot.
 
Wengine hawafai kufanya friendship, hawafai kushare nao mambo, hawafai hata kupiga nao story huko pm. Ni wakubwa wa umri lakini utoto mwingi kichwani.
Shem darling I hope kwamba umemwambia mdogo ako kuwa me nimezeeka akili hadi matendo, so asiogope kabisa kunijaribu teh
 
Back
Top Bottom