Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Wakinusa kama hela ipo wenyewe wataku PM
Tafuta hela kijana hawa watakutafuta wenyewe
Ehehehe
 
Kuna Dada mmoja alini PM humu humu kuhusu interview ya ilala kaz za serikalin.
Kesho yake tukakutana kwenye eneo la interview, akanidesaaa weee mwishon kapata kazi now anatoka shavu tu.

Sa nyie shaur yenu fungeni fungeni tu mpishane na fursa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…