Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Hahahaha hapana... Si unajua bamia inategemea saizi ya trundu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ubaya zaidi ni pale wanawake wenzako wanazungumzia PM zao zinajaa wakati ya kwake haijai au haina msg kabisa..akiwa na stress anaweza kubadili avatar nzuri nzuri kila baada ya siku chache
KAMA PM YA MWANAMKE IKO EMPYTE NA HATONGOZWI BASI AKAOGE BAHARINI AISEE
 
MKUU KAMA HAUJAWAI KUONANA NA WATOTO WA HUMU POLE SANA,NILIOKUTANA NAO MIE KIMISHEMISHE NI WAKARE HATARII MKUU HUWEZI KUAMINI NISHAWAI KUTOKWA NA JASHO MWILI MZIMA KWA KUONGELESHWA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwaio solution ndio kufunga? Na how uje umtangaze mtu tht not fair na mwanaume wa kwel hawez fanya hvo.. acha uoga [emoji2]
Sitaki kwakweli acha tu niifunge na ubaboon wangu huu nije kuanzishiwa thread
 
MKUU KAMA HAUJAWAI KUONANA NA WATOTO WA HUMU POLE SANA,NILIOKUTANA NAO MIE KIMISHEMISHE NI WAKARE HATARII MKUU HUWEZI KUAMINI NISHAWAI KUTOKWA NA JASHO MWILI MZIMA KWA KUONGELESHWA
hata mm wakaka waukweli aiseeh!

najua mnasoma hapa nawaambia kabisa wazuri sana tu!

very charming aiseh!

unacheka mpk basi daah!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…