Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Sasa kama wanaelezea jinsi ulivyo wanakosea Nini??? Unakengeza waseme una sex eyes.....mtafurah

Mbona nyinyi wenye vbamia hamuwasem wana Mandingo?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]sumbai
 
Kujiamini ndio mpango shoga angu [emoji28]
sasa je
Sasa kama wanaelezea jinsi ulivyo wanakosea Nini??? Unakengeza waseme una sex eyes.....mtafurah

Mbona nyinyi wenye vbamia hamuwasem wana Mandingo?
Ushawahi kuona mdada kamuanzishia mkaka thread?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] kengeza ndo ubaya jamani
lohh![emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
sasa je

Ushawahi kuona mdada kamuanzishia mkaka thread?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] kengeza ndo ubaya jamani
lohh![emoji13] [emoji13] [emoji13]
Nlitolea mfano...

Mbona wadada wengi tuu huanzisha Uzi kumnanga mtu fulan

Hahha wadada mnamagroup yenu. Mnawasema saana Me. Hahaha nliwah kushuhudia hii kitu....

The dark side of jf. Mnaongea saana huko. Mtu akimuaproach mtu unaenda kuuliza wanawake wengine huko. Hahaha iwe sasa men ameshaawah kufanya hvyo hapo utaona kinachofata....

Another side ya jf geny huijuui
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ishakukuta nini?

Ila nyie mwananga sana looh!
Mtu kwenye thread anaweka hadi chupi uliyovaa Siku ya tukio!!

Na unamtolea siri zotee wakati utamu mliona wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…