Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
[emoji23] [emoji23] [emoji23] anang'ang'ania kurudisha mkopo wakati kasamehewa!abaki nazo tu [emoji6]
looh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] anang'ang'ania kurudisha mkopo wakati kasamehewa!abaki nazo tu [emoji6]
Au nikutumie wewe..sababu hazina matumizi tena[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Kakusamehe jamani
huoni ngekewa hiyoo!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nashangaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] anang'ang'ania kurudisha mkopo wakati kasamehewa!
looh!
Hizo screen shoot zinatumwagwa wapi??? Mbona sijawahi kuozionaipi hiyo sumbai ya kutangazwa na kuscreenshotiwa acha tu inipite [emoji28]
[emoji13] [emoji13] umeona eehh!hamna maana nyie sumbai utakuaja kumbe geni ana makengeza geni mbayaa hana lolote
unancheka bestii!Teh Teh.....
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nashangaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] anang'ang'ania kurudisha mkopo wakati kasamehewa!
looh!
Kujiamini ndio mpango shoga angu [emoji28][emoji13] [emoji13] umeona eehh!
mie best wantangaze tu
asiyeumba haumbui!
najiamini balaa japo nna sura ya choo cha shimo
unancheka bestii!
Sasa kama wanaelezea jinsi ulivyo wanakosea Nini??? Unakengeza waseme una sex eyes.....mtafurahhamna maana nyie sumbai utakuaja kumbe geni ana makengeza geni mbayaa hana lolote
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]sumbaiSasa kama wanaelezea jinsi ulivyo wanakosea Nini??? Unakengeza waseme una sex eyes.....mtafurah
Mbona nyinyi wenye vbamia hamuwasem wana Mandingo?
Mjiamin buanahKujiamini ndio mpango shoga angu [emoji28]
500 tuu????Nimeshamrushia Quigley hela zako..shunie nenda kazichukue hatudaiani tena, mtamalizana huko huko[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Ndo hiyo hiyo mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]500 tuu????
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sitaki kaka anisalimie apa apa
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]lini mm na ww tulikopeshana
Ameshanipa thanks [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli ukinitaji muambie shunie akupe no yangu uje wasap!!![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
sasa jeKujiamini ndio mpango shoga angu [emoji28]
Ushawahi kuona mdada kamuanzishia mkaka thread?Sasa kama wanaelezea jinsi ulivyo wanakosea Nini??? Unakengeza waseme una sex eyes.....mtafurah
Mbona nyinyi wenye vbamia hamuwasem wana Mandingo?
Nlitolea mfano...sasa je
Ushawahi kuona mdada kamuanzishia mkaka thread?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kengeza ndo ubaya jamani
lohh![emoji13] [emoji13] [emoji13]
Zipo uko zinazunguka uko ngoja eva na valentina wajeHizo screen shoot zinatumwagwa wapi??? Mbona sijawahi kuoziona
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ishakukuta nini?Nlitolea mfano...
Mbona wadada wengi tuu huanzisha Uzi kumnanga mtu fulan
Hahha wadada mnamagroup yenu. Mnawasema saana Me. Hahaha nliwah kushuhudia hii kitu....
The dark side of jf. Mnaongea saana huko. Mtu akimuaproach mtu unaenda kuuliza wanawake wengine huko. Hahaha iwe sasa men ameshaawah kufanya hvyo hapo utaona kinachofata....
Another side ya jf geny huijuui
Tunajiamini buanaMjiamin buanah