Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
na siibadilishi ng'oo ntakomaa Nayo hii...hivi unawezaje kuwa na id nyingi? moja yenywe nanga inapaa
labda nipate dharura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na siibadilishi ng'oo ntakomaa Nayo hii...hivi unawezaje kuwa na id nyingi? moja yenywe nanga inapaa
MIE NIPO HUMU KITAMBO KUNA MDADA ASHAWAI KUNIANZISHIA THREAD NIACHE KUMTONGOZA JINA NAMUIFADHI,NA KUNA DADA MWINGINE ASHAWAHI KUMUANZISHIA JAMAA FULANI NYUZI HADI LEO MAADUIUmeona eenh ulifkili wadada hawakutan na vituko lkn wanaamua kukaa kimya tu sio wao kila siku thread humu
Hahahahahaha...[emoji28][emoji28][emoji28]ndio mana tunawakwepa
Sasa kama ni mwanaume kaamua kutumia ID ya ke,hata mwandiko wake utakuwa wa ke tu.hata muandiko utashindwa kujua km me au ke?!
Hahaha ntakuwa siku-pm mie, ubaki na kigundu chako ooohSijawahi pata PM hata kwa bahati mbaya!!
Ndo maana nimeweka lips labda watakuja kuja loohh!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukiona PM za wambea wenzangu tu!!
Dinazarde,shunie,warumi,nifah,heaven sent(my sweet pie) na wambea wengine!
atulie tu hapa!!watu hadi michango ya harusi wanachangiana...Hahahahh sio mtu wa systeam [emoji28][emoji28]yy apige soga na sisi akalale na mkewe
ndiyo..mkeo au demu wakoo!!!!Ahahahaha mkewe??? Duh
Hajui thamani yako mimi ndo naijua tuNdio hela gani hyo mtto huwezi mpa aende nayo shule
aahhh[emoji57] [emoji57] [emoji57] wapi?!!
ngoja nikuignoree!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sanaMIE NIPO HUMU KITAMBO KUNA MDADA ASHAWAI KUNIANZISHIA THREAD NIACHE KUMTONGOZA JINA NAMUIFADHI,NA KUNA DADA MWINGINE ASHAWAHI KUMUANZISHIA JAMAA FULANI NYUZI HADI LEO MAADUI
Tayari nimeshatuma. Muamala ukikufikia utanishtua[emoji23] [emoji23]ntumie tu kwenye namba hii0713800800!!
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Mfyuuuu
Hilo linamba duh.... We jeni fungua pm bwana acha kutupa namba za fiestantumie tu kwenye namba hii0713800800!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa kama ni mwanaume kaamua kutumia ID ya ke,hata mwandiko wake utakuwa wa ke tu.
looohh![emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu msinifanyie hivyoo!!Hahaha ntakuwa siku-pm mie, ubaki na kigundu chako oooh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daahh!kweliiMULTIPLE ID ZINATUMIKA LOVE CONNECT
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uko vzrNAMIE SITONGOZI PM HUMU HUMU KWENYE THREAD TUKIKUTANA NI MANENO HADI UNAKOMA
Eeeh umezidi kuniscreenshot[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
looohh![emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu msinifanyie hivyoo!!
loohh!!hadi wewee!
Ha ha ha usinikumbushe fulani alimshobokea dada fulani hivi, kapewa namba fasta siku kaenda kuonana kakuta anamzidi mama ake miaka miwili ha ha ha ha ha yalimshukaHumu humu haha" Yan humu kuna mchanganyiko sana yani imebaki kumtongoza bibi tu,
jf challenge sana [emoji2]"