Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hujafika badooo!!!!Tayari nimeshatuma. Muamala ukikufikia utanishtua[emoji23] [emoji23]
sio za fiesta..ndo zenyewe!!Hilo linamba duh.... We jeni fungua pm bwana acha kutupa namba za fiesta
Hapana binamu don't please sirudii tena!Eeeh umezidi kuniscreenshot
kwani huna mke sumbai [emoji30]Ahahahaha mkewe??? Duh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nifungue I'd ya kule!HUKO SI MWANAUME WALA MWANAMKE ID MPYAAA ZINATAFUTA HITAJI LA MOYO
Mm nawashangaa watu kama kweli wana id tofauti na moja hivi unaanzajena siibadilishi ng'oo ntakomaa Nayo hii...
labda nipate dharura
Aisee sasa si mngemalizana vzr tu na ww ulijuaje kama thread inakuhusu wwMIE NIPO HUMU KITAMBO KUNA MDADA ASHAWAI KUNIANZISHIA THREAD NIACHE KUMTONGOZA JINA NAMUIFADHI,NA KUNA DADA MWINGINE ASHAWAHI KUMUANZISHIA JAMAA FULANI NYUZI HADI LEO MAADUI
kawaida tu!!mbona zipo nyngi sana!Mm nawashangaa watu kama kweli wana id tofauti na moja hivi unaanzaje
Hiyo NO ya kike au ya kiume?Tayari nimeshatuma. Muamala ukikufikia utanishtua[emoji23] [emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]atulie tu hapa!!watu hadi michango ya harusi wanachangiana...
ndiyo..mkeo au demu wakoo!!!!
Nasingiziwaga tuu.... Sijui kwaninikwani huna mke sumbai [emoji30]
demu unae wa kupumzikiaNasingiziwaga tuu.... Sijui kwanini
kabisa kaka we ndio unaijua thamani yangu me sio wa mchezo mchezoHajui thamani yako mimi ndo naijua tu
Hongera zao kwakweliMULTIPLE ID ZINATUMIKA LOVE CONNECT
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hilo linamba duh.... We jeni fungua pm bwana acha kutupa namba za fiesta
huo ndio uanaumeNAMIE SITONGOZI PM HUMU HUMU KWENYE THREAD TUKIKUTANA NI MANENO HADI UNAKOMA
NINA REKODI YA KUPGWA BAN MIEZI 4 KISA NIMEMWAGA SERA KWA DADA FULANI,NAMCHUKIA YULE MODERATOR MPAKA LEO HII SIJUI ALIKUWA DEMU WAKE MAANA KILA MARA ANANIPA ONYO KUMSUMBUA YULE DADA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uko vzr
Hahahhhh akaja kuanzisha thread kakutana na bibiHa ha ha usinikumbushe fulani alimshobokea dada fulani hivi, kapewa namba fasta siku kaenda kuonana kakuta anamzidi mama ake miaka miwili ha ha ha ha ha yalimshuka
hivi na wanapataga kweliHUKO SI MWANAUME WALA MWANAMKE ID MPYAAA ZINATAFUTA HITAJI LA MOYO
Umeanza lini kumuita @quiglei kaka???? Dahkabisa kaka we ndio unaijua thamani yangu me sio wa mchezo mchezo