Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Nlitolea mfano...

Mbona wadada wengi tuu huanzisha Uzi kumnanga mtu fulan

Hahha wadada mnamagroup yenu. Mnawasema saana Me. Hahaha nliwah kushuhudia hii kitu....

The dark side of jf. Mnaongea saana huko. Mtu akimuaproach mtu unaenda kuuliza wanawake wengine huko. Hahaha iwe sasa men ameshaawah kufanya hvyo hapo utaona kinachofata....

Another side ya jf geny huijuui
Ati??? Unatusingizia bana
 
Ha ha ha usinikumbushe fulani alimshobokea dada fulani hivi, kapewa namba fasta siku kaenda kuonana kakuta anamzidi mama ake miaka miwili ha ha ha ha ha yalimshuka
Inakuwaje wewe una infos nyingi za yanayotokea PM za watu?! Alaaniwe aliegundua screenshot!
 
NINA REKODI YA KUPGWA BAN MIEZI 4 KISA NIMEMWAGA SERA KWA DADA FULANI,NAMCHUKIA YULE MODERATOR MPAKA LEO HII SIJUI ALIKUWA DEMU WAKE MAANA KILA MARA ANANIPA ONYO KUMSUMBUA YULE DADA
Ndo ukome kusumbua wake za watu nawewe[emoji12]
 
Wawaza ngono kila saa wanafatilia wanawake, humu kuna watu wengi wa kushirikiana nao wewe unawaza ku-PM wanawake?

Kitu kingine ambacho unatakiwa kujua kuwa kuna maamuzi ya mtu ambayo huwezi kuyaulizia maswali, ndio maana vipengele hvyo vya kublock vikawekwa ili kuzuia watu kama nyie kusumbua wenzenu.

Nahsi hapo una watanzania wenzako wanne.
 
Back
Top Bottom