Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Wengine tukigombana jukwaani anaona atapigwa ban anakuja pm anakupa matusi makubwa makubwa
 
Wengine tukigombana jukwaani anaona atapigwa ban anakuja pm anakupa matusi makubwa makubwa
Unaachana nae ajiongeleshe akichoka anasepa.... Au unamblock

Mwingine anakuja anakukomalia kitu cha kijinga mpaka unajiuliza huyu mtu vipi?
 
Haya mambo sister yapo. Kwenye wengi lazima haya mambo yawepo.
Ni kweli kabisa...

Kuna wanaume mpaka unabaki kujiuliza mkewe anawezaje kumvumilia jamaa mwenye mambo ya kitoto namna hii. Akili haijakomaa kabisa yani
 
asante best kunitaarifu!!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kumbe kuna magrupu kabisa!

kweli wanaume wanatoweka km nyumbu tz!!
Wacha kabisa yani. Eti unakuta wanaongea kabisa flani tayari nishapita pale... Hana lolote yule usimwone vile na maneno yao mbofu mbofu kibao
 
Hivi humu JF unafata nini PM ya mwanamke ambae hata hujui sura yake, ambae unahisi ni mwanamke waweza kuta ni janaume limechill aisee...kuna vitu vinashangaza sana...
 
Back
Top Bottom