Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Amna anaenisumbua
Ila sijawai kujua kama kufunga PM inaezekana
Akikusumbua mtu mwambie kuwa umeshampata Scorpion wako ambae ni Behaviourist na ameshakutoboa macho yote na kwingine huoni!![emoji1] [emoji1] [emoji1]!!.......Mwambie kwa Behaviourst umefika,ndo mwisho wa reli-Kigoma![emoji1]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
You are crazy aseee!
 
Hii tabia mmeanza lini yakulock PM na kwanini mnafunga profile za akaunti zenu au mna wapenzi wenu humu mnaogopa watatuma watu kuwatest kama ni maharage ya mbeya ama la.Je hamuoni kuwa ni mnaonyesha udhaifu kwa kulock PM
Wewe mtoa mada umetuletea balaa.....angalia sasa kila mmoja anataka kufunga PM!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…