Sonia G
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 3,071
- 3,909
Nimeweza shukraniNimekupm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeweza shukraniNimekupm
Bora huu ufungaji uwe endelevu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikua sijui naona ndo ishakubali hvyooo!!
Sanyingine kumbe unakua mwema eeNgoja nikuletee kofuli
nini wewee!!angoje nn?!!USIFUNGE NGOJA KWANZA
Akikusumbua mtu mwambie kuwa umeshampata Scorpion wako ambae ni Behaviourist na ameshakutoboa macho yote na kwingine huoni!![emoji1] [emoji1] [emoji1]!!.......Mwambie kwa Behaviourst umefika,ndo mwisho wa reli-Kigoma![emoji1]Amna anaenisumbua
Ila sijawai kujua kama kufunga PM inaezekana
Sana tu!!Siifungui tena mradi we we nakupata yantosha mie!Bora huu ufungaji uwe endelevu.
Ahsante sana scorpion wangu... nitoboe macho kabisa nisione mwingineSana tu!!Siifungui tena mradi we we nakupata yantosha mie!
Mlango wa nini kama wapitaji hamna.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ufungaji hewa!!!
Siku zote na hata mileleSanyingine kumbe unakua mwema ee
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Akikusumbua mtu mwambie kuwa umeshampata Scorpion wako ambae ni Behaviourist na ameshakutoboa macho yote na kwingine huoni!![emoji1] [emoji1] [emoji1]!!.......Mwambie kwa Behaviourst umefika,ndo mwisho wa reli-Kigoma![emoji1]
Yng its unlocked[emoji12] [emoji12] [emoji12]jaribu mpesa uone kama napo pako locked
kwani mapenzi matamu!!![emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]Ahsante sana scorpion wangu... nitoboe macho kabisa nisione mwingine
tumekutana kmjinimjini.....!!!kwhyo ndo tunaishia hapa mie nawewe?
Wewe mtoa mada umetuletea balaa.....angalia sasa kila mmoja anataka kufunga PM!!!!Hii tabia mmeanza lini yakulock PM na kwanini mnafunga profile za akaunti zenu au mna wapenzi wenu humu mnaogopa watatuma watu kuwatest kama ni maharage ya mbeya ama la.Je hamuoni kuwa ni mnaonyesha udhaifu kwa kulock PM
KumbeMnakera na viswaga uchwara na usumbufu....
Geni eb ni pmtumekutana kmjinimjini.....!!!
Poa poa!Geni eb ni pm