Ila hata wanaume wasio na adabu naskia wanagrp lao wenyewe. Kazi kuwasema aliyowapitia...Yap.....
heeee[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Ila hata wanaume wasio na adabu naskia wanagrp lao wenyewe. Kazi kuwasema aliyowapitia...
Haya mambo sister yapo. Kwenye wengi lazima haya mambo yawepo.Ila hata wanaume wasio na adabu naskia wanagrp lao wenyewe. Kazi kuwasema aliyowapitia...
Eva sio mtu wa mchezchezo kabisaa!!Inakuwaje wewe una infos nyingi za yanayotokea PM za watu?! Alaaniwe aliegundua screenshot!
Unaachana nae ajiongeleshe akichoka anasepa.... Au unamblockWengine tukigombana jukwaani anaona atapigwa ban anakuja pm anakupa matusi makubwa makubwa
Ha ha haWe jamaa bora hii thread usingeileta, ona sasa kila aliyeiona anaenda kufunga.
Ndohivo...heeee[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii kalii!!Wengine tukigombana jukwaani anaona atapigwa ban anakuja pm anakupa matusi makubwa makubwa
asante best kunitaarifu!!Ndohivo...
Be careful bibie... Kuna tofauti kati ya wanaume na wavulana
Hao ndiyo wamenifanya nifunge pm[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii kalii!!
Ni kweli kabisa...Haya mambo sister yapo. Kwenye wengi lazima haya mambo yawepo.
daah!pole sana aiseehh!!Hao ndiyo wamenifanya nifunge pm
He hee subiri iko siku utajua kuna ubaya ganiHIVI KUNA UBAYA UKIWA MKE WA MTU HALAFU NAMIE NIKAJIWEKA HAPO?
Ujinga tu!Haya mambo sister yapo. Kwenye wengi lazima haya mambo yawepo.
unatongozaje msichan mbele ya hadhira?SIJAONA RISK HAPO ILA KAMA NINGEWEZA KUONANA NAYE ASINGECHOMOKA KWANGU AISEEE
Wacha kabisa yani. Eti unakuta wanaongea kabisa flani tayari nishapita pale... Hana lolote yule usimwone vile na maneno yao mbofu mbofu kibaoasante best kunitaarifu!!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kumbe kuna magrupu kabisa!
kweli wanaume wanatoweka km nyumbu tz!!