Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Ha ha ha hadi naonekana cha umbea nilietukuka....
Asee kuna kidume humu tulifahamiana kirafiki tu, within a week mama mamaa nilipewa umbea sijui tani ngapi screenshot anazochat na watu humu, pm alizotumiwa asee ila mwisho wa siku akaniundia umbea na mie ha ha ha kwamba nna ngoma nimepewa na Mentor nikachoka kabisa
Hahahaaaa" ngoma tena du watu wanafika mbali [emoji23] [emoji23]
 
Mnakera na viswaga uchwara na usumbufu....
Ubhebhe nankho, inyo lyako na mabhuso gako.
kwani kwina ajabuki unkima kuzingirwah? ulu ulema nani akukuzulah kunguzu?
bhushamba du...bhulimsumbulah.
manyo nging'hwe bhose bhakima bha JF.
Bhashenzing'we detere.
 
Nyanhoko
James delicious wewe
 
Ha ha ha hadi naonekana cha umbea nilietukuka....
Asee kuna kidume humu tulifahamiana kirafiki tu, within a week mama mamaa nilipewa umbea sijui tani ngapi screenshot anazochat na watu humu, pm alizotumiwa asee ila mwisho wa siku akaniundia umbea na mie ha ha ha kwamba nna ngoma nimepewa na Mentor nikachoka kabisa
daah!hatari aiseehh!

Huyo mwanaume au kanaumeme?!!
 
Ha ha ha hadi naonekana cha umbea nilietukuka....
Asee kuna kidume humu tulifahamiana kirafiki tu, within a week mama mamaa nilipewa umbea sijui tani ngapi screenshot anazochat na watu humu, pm alizotumiwa asee ila mwisho wa siku akaniundia umbea na mie ha ha ha kwamba nna ngoma nimepewa na Mentor nikachoka kabisa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]eve mtaje buana tumjue usikute tupo nae kila siku pm
 
Basi tu urafiki ulikufa la sivyo kama unachat nae ningetumiwa screen shot ha ha ha ha ha ha ha
Anavojichanganya humu lol
 
Ha ha ha hadi naonekana cha umbea nilietukuka....
Asee kuna kidume humu tulifahamiana kirafiki tu, within a week mama mamaa nilipewa umbea sijui tani ngapi screenshot anazochat na watu humu, pm alizotumiwa asee ila mwisho wa siku akaniundia umbea na mie ha ha ha kwamba nna ngoma nimepewa na Mentor nikachoka kabisa

Aisee, that was too much. Hivi mtu anaanzaje kuzusha vitu vya kitoto kiasi hicho. Pole, hapo alikosea sana!!
 
Back
Top Bottom