Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
ulikimbia nn sasa?Kabisa maana vidagaa mnasumbua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulikimbia nn sasa?Kabisa maana vidagaa mnasumbua
Mbali mbinguni tu bwana si ungelifata, au ungetuma nauliHaaaa lilikimbia lenyewe bt lilikua laonekana tamu sana sema tatzo liko mbali
Kazi ipo kwa wake/wapenzi wao wallahVidume hewa men with no balls
wapo wanapata ngekewa humu!!Hiyo ni "tia mkono upapase" utakachopata hicho hicho
Lilikimbia lenyewe tatizo twaishi mbalimbaliulikimbia nn sasa?
kaka mengine tuwachie baba na mama [emoji13] [emoji13] [emoji13]A million dollar question, inakuwaje @evalyn salt ana info za kutosha za private messages watu tofauti?
I was just playing bhana, Eva ni beste wangu sana.kaka mengine tuwachie baba na mama [emoji13] [emoji13] [emoji13]
usijali kaka[emoji13] [emoji13] nilikua natania tu!I was just playing bhana, Eva ni beste wangu sana.
Teh teh[emoji12] [emoji12] [emoji12] ngoja aje anishushe busha...hahahausijali kaka[emoji13] [emoji13] nilikua natania tu!
sio mtu wa mchezo mchezo huyu!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] kwani ni dude au?Lilikimbia lenyewe tatizo twaishi mbalimbali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] msukuma huyooo...wabaya haoo!!Teh teh[emoji12] [emoji12] [emoji12] ngoja aje anishushe busha...hahaha
Kumbe we bonge gen, napendraaaa bongrezzz!!![emoji13] [emoji13] [emoji13] kwani ni dude au?
eti lilikimbia loohh[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..
mabonge kazi tunayoo!!
Mpaka leo bado nachoma mahindi... Yameungua na kuungua sijui kwanini hutokei tuAt the end, ni lazima watu wa integrate huko PM, iwe kiurafiki, kutongozana, kusaidiana kimawazo katika maisha nk.
Muhimu ni kujua nani hasa (japo bado ni anonymous kwako) anaweza kuongea na wewe bila kutoa mambo yenu. Kuna decent women in here, very decent na utaenjoy kuchat nao coz wamekomaa kifikra. Sio kila mtu wa kubadilishana nae mawazo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kipipa.,Kumbe we bonge gen, napendraaaa bongrezzz!!!
Bonge fulani hivi amaizing kama wewe Gen[emoji13] [emoji13] [emoji13] kwani ni dude au?
eti lilikimbia loohh[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..
mabonge kazi tunayoo!!
Shughuli zinabana sema ye ndo alianza kujistukiaMbali mbinguni tu bwana si ungelifata, au ungetuma nauli
Kafupi katamujeeee[emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23] kipipa.,
mfupiii!!!kama kigoda!!