Nyani Mzee haogopi mishale.....Hhahahha.....au wanaogopa tongozo?
Maana humu Jf kuna mabingwa wa tongozo.
Akikuona uko online, kashanawa uso kukufata PM
Heeeeeeeeee.....usinambieeeeetumefungua kuna wazee wa screenshot ukichat nao pm screenshot zinatembea tu
Mhhhh.....thubutu.Nyani Mzee haogopi mishale.....
Wengie bwana sio watongozaji, tunataka namba tuu turushapo tupesa tudogo
Ahahaha double Id????....Mhhhh.....thubutu.
Afu mbaya zaidi, mnakuja na Id mpya, kwanini msije na za zamani?
Za zamani tutaumbuana wote, ila mpya nitaonekana mie 'waluwalu'
Mara 3, tu.......... Ila hujanitendea haki Kulifunga boxNa ww ulishapigwa nini
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]sio elf 2000 lknNyani Mzee haogopi mishale.....
Wengie bwana sio watongozaji, tunataka namba tuu turushapo tupesa tudogo
kweli binamu we soma toka mwanzoHeeeeeeeeee.....usinambieeeee
Kumbeeee!!!!!
Fungeni tu aiseeeeeee
Pole sana kwani umenitext imeshindwa kuja hivi gb whatsapp mbona hawaupdate emoji mpyaMara 3, tu.......... Ila hujanitendea haki Kulifunga box
Mi natamani mods waturuhusu japo kidogo atajwe tumpe vipande vyake hadharani akome hiyo tabia yakeMimi siwezi kuchukulia poa mtu aliyenidhalilisha. I still hold grudges aisee, yani mtu amesoma na ameelimika kabisa anatoa mambo tuliyochat private..nah! Bahati mbaya huwa watu hawaonani, ningemlamba konzi hatari!!
Ianzie ngapi???[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]sio elf 2000 lkn
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ianzie ngapi???
hahaa ili wadate na wenzio? mi nakutaka wewe tu.Weeh usiniambie una nn vya ziada eb mwaga sera
2000 ni kwa watoto wa kiume siyo kwa wanaume.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]sio elf 2000 lkn
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]sasa mm unanijua msidanganyike na avatar fake utakutana na libibi utoke mbiohahaa ili wadate na wenzio? mi nakutaka wewe tu.
wanaume mnatumaga ngp?2000 ni kwa watoto wa kiume siyo kwa wanaume.
Hamna sijakutext Ila sumesema hapo juu kuwa umeilocki?!?! Shunie na wewe si uniruhusu niwe naingia pekeangu huko ndan ya boksii???Pole sana kwani umenitext imeshindwa kuja hivi gb whatsapp mbona hawaupdate emoji mpya
Nijib kwanza swala la gb we haina shida ulishawai nitext itakuja tuHamna sijakutext Ila sumesema hapo juu kuwa umeilocki?!?! Shunie na wewe si uniruhusu niwe naingia pekeangu huko ndan ya
ZitKuwepo wakiweka new versionPole sana kwani umenitext imeshindwa kuja hivi gb whatsapp mbona hawaupdate emoji mpya
Tunatoa kulingana na mahitaji ya muhusika.wanaume mnatumaga ngp?