Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Mimi siwezi kuchukulia poa mtu aliyenidhalilisha. I still hold grudges aisee, yani mtu amesoma na ameelimika kabisa anatoa mambo tuliyochat private..nah! Bahati mbaya huwa watu hawaonani, ningemlamba konzi hatari!!
Mi natamani mods waturuhusu japo kidogo atajwe tumpe vipande vyake hadharani akome hiyo tabia yake
 
Pole sana kwani umenitext imeshindwa kuja hivi gb whatsapp mbona hawaupdate emoji mpya
Hamna sijakutext Ila sumesema hapo juu kuwa umeilocki?!?! Shunie na wewe si uniruhusu niwe naingia pekeangu huko ndan ya boksii???
 
Back
Top Bottom