sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Nyani Mzee haogopi mishale.....Hhahahha.....au wanaogopa tongozo?
Maana humu Jf kuna mabingwa wa tongozo.
Akikuona uko online, kashanawa uso kukufata PM
Wengie bwana sio watongozaji, tunataka namba tuu turushapo tupesa tudogo