Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Halafu ujue mambo mengine huwaga ni ya mzaha tu lakini kumbe wengine hutilia maanani.

Mfano ule msemo wa USA baby na vile vibendera...ule ni mzaha tu.

Lakini jinsi ambavyo baadhi ya watu hutokwa na povu inastaajabisha.

Sasa ndo unakuta mtu ananichukia kwa ajili hiyo.

Binafsi siwezi kabisa kumchukia mtu nisiyemjua.

Kwa mfano, hao wanaonichukia humu wana uhakika gani kuwa hawajawahi kukutana na mimi mtaani na tukapiga stori vizuri tu?

Akili za watu wengine bana...sijui zimekaaje tu.

Kuna watu wajinga humu sana tu!!

Wana visirani na chuki za ajabu ajabu!!

Mpk tunashindwa kushangaa kwa kweli!

Stress za maisha yake na familia yake anakuja kumalizia huku jf!!

Ila mie wananikoshoga sana!
 
"PM Alert"

'Shunie kaliwa Ngabu halafu akapewa dola mia mbili na manukato ya Chanel Mademoiselle' 😀😀😀😀

'Halafu Ngabu akaingia mitini na mdada kabaki kutukana tu'

Hahaaaaa natania tu hapo...ila usije shangaa ukapewa habari kama hizo siku moja.
Si bora nimeliwa na kupewa dollar 200 na manukato kuliko kukopwa watajua wenywe
 
Halafu ujue mambo mengine huwaga ni ya mzaha tu lakini kumbe wengine hutilia maanani.

Mfano ule msemo wa USA baby na vile vibendera...ule ni mzaha tu.

Lakini jinsi ambavyo baadhi ya watu hutokwa na povu inastaajabisha.

Sasa ndo unakuta mtu ananichukia kwa ajili hiyo.

Binafsi siwezi kabisa kumchukia mtu nisiyemjua.

Kwa mfano, hao wanaonichukia humu wana uhakika gani kuwa hawajawahi kukutana na mimi mtaani na tukapiga stori vizuri tu?

Akili za watu wengine bana...sijui zimekaaje tu.
sijui ni akili za kitoto au vp inakera sana
 
Mi yangu siifungi lakini [emoji23] being honest.
1476546095173.png
 
Back
Top Bottom