Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,364
- 12,456
Kwani tuliongea ninikiboksi kimefanyaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani tuliongea ninikiboksi kimefanyaje
umetuma imeshindikanaKwani tuliongea nini
Meaning umezungukwa na wasio wastaarabu wanakurushia tu screenshot za pumba zetu?!Ndo ujue watu sio wastaarabu kabisa
Wanajua wenyewehahaha wananusaje
Labda uongezee pia kuna wanawake na wasichana, kwasababu wasambaza screenshots wakubwa ni ke.Ndohivo...
Be careful bibie... Kuna tofauti kati ya wanaume na wavulana
Mbona kama unanimind mie? Wakati mie pia victim?huu udaku wote wa hapa nilipewa na mtu mmoja mtoto wa kiume nikisema mwanaume nitakoseaMeaning umezungukwa na wasio wastaarabu wanakurushia tu screenshot za pumba zetu?!
Nikadhani wameufuta huu uzi bana...😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Haionekani kabisa yaniumetuma imeshindikana
Ngoja nikutumieHaionekani kabisa yani
Mama weeee nafwaaaaa mie nimesimama duh??[emoji1]acha tu binamu...unachat na mtu kumbe anascreen shot....!!!then anatuma kwa wenziwee!!
ni kuhusu screenshot my dia
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]usifeMama weeee nafwaaaaa mie nimesimama duh??[emoji1]
Wewe unazo za nani?Maelezo yaje yakiwa yamejitoshelezaLabda uongezee pia kuna wanawake na wasichana, kwasababu wasambaza screenshots wakubwa ni ke.
Koh!koh!koh nanihii naomba dawa ya kikohozi.Ya Ubungo ama ile ya beach?
Ulinigongea Landmark hotel
hahahhWewe unazo za nani?Maelezo yaje yakiwa yamejitosheleza
Hivi kuna wasengerema humu eeeeh???[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]usife
zaidi ya wasengeremaHivi kuna wasengerema humu eeeeh???
usife best!!!Mama weeee nafwaaaaa mie nimesimama duh??[emoji1]
Ngoja Ngabu akuletee my Wii,usipate shida kabisaKoh!koh!koh nanihii naomba dawa ya kikohozi.
Na ole wenu msiniletee mpwa
aiseee[emoji15] [emoji15] [emoji15] !Mbona kama unanimind mie? Wakati mie pia victim?huu udaku wote wa hapa nilipewa na mtu mmoja mtoto wa kiume nikisema mwanaume nitakosea
Na kweli ni manyang'au.Kwa hiyo wameunda group wanakuwa wanashare conversations?usife best!!!
hao nyang'au wasikupe preshaa!