Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Wewe tena ha ha ha umegongwa bana, baada ya Ngabu kumuacha huyo maza ndo akahamia kwakoNa mie nimo kwenye kugongwa?[emoji85]
Na mie nimo kwenye kugongwa?[emoji85]
Halafu ujue mambo mengine huwaga ni ya mzaha tu lakini kumbe wengine hutilia maanani.
Mfano ule msemo wa USA baby na vile vibendera...ule ni mzaha tu.
Lakini jinsi ambavyo baadhi ya watu hutokwa na povu inastaajabisha.
Sasa ndo unakuta mtu ananichukia kwa ajili hiyo.
Binafsi siwezi kabisa kumchukia mtu nisiyemjua.
Kwa mfano, hao wanaonichukia humu wana uhakika gani kuwa hawajawahi kukutana na mimi mtaani na tukapiga stori vizuri tu?
Akili za watu wengine bana...sijui zimekaaje tu.
Si bora nimeliwa na kupewa dollar 200 na manukato kuliko kukopwa watajua wenywe"PM Alert"
'Shunie kaliwa Ngabu halafu akapewa dola mia mbili na manukato ya Chanel Mademoiselle' ππππ
'Halafu Ngabu akaingia mitini na mdada kabaki kutukana tu'
Hahaaaaa natania tu hapo...ila usije shangaa ukapewa habari kama hizo siku moja.
Afu sio dem ni mmaza mmaza, mke wa mtu ππ
sijui ni akili za kitoto au vp inakera sanaHalafu ujue mambo mengine huwaga ni ya mzaha tu lakini kumbe wengine hutilia maanani.
Mfano ule msemo wa USA baby na vile vibendera...ule ni mzaha tu.
Lakini jinsi ambavyo baadhi ya watu hutokwa na povu inastaajabisha.
Sasa ndo unakuta mtu ananichukia kwa ajili hiyo.
Binafsi siwezi kabisa kumchukia mtu nisiyemjua.
Kwa mfano, hao wanaonichukia humu wana uhakika gani kuwa hawajawahi kukutana na mimi mtaani na tukapiga stori vizuri tu?
Akili za watu wengine bana...sijui zimekaaje tu.
Anaomba ujuzi kijanja[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]unaomba ujuzi
sijui ni akili za kitoto au vp inakera sanaHalafu ujue mambo mengine huwaga ni ya mzaha tu lakini kumbe wengine hutilia maanani.
Mfano ule msemo wa USA baby na vile vibendera...ule ni mzaha tu.
Lakini jinsi ambavyo baadhi ya watu hutokwa na povu inastaajabisha.
Sasa ndo unakuta mtu ananichukia kwa ajili hiyo.
Binafsi siwezi kabisa kumchukia mtu nisiyemjua.
Kwa mfano, hao wanaonichukia humu wana uhakika gani kuwa hawajawahi kukutana na mimi mtaani na tukapiga stori vizuri tu?
Akili za watu wengine bana...sijui zimekaaje tu.
Hahahhh umemuona eenhAnaomba ujuzi kijanja[emoji28]
kiboksi kimefanyajeππ... Oka ila vp kuhusu kiboksiππ
Hahaha nimemshtukia....Hahahhh umemuona eenh
Ha ha haaa kumbe nina ubavu wa kunyang'anya Mr wamtu eeWewe tena ha ha ha umegongwa bana, baada ya Ngabu kumuacha huyo maza ndo akahamia kwako
Sijui ulimpora we binti mbaya sana
Ulinigongea Landmark hotelOh yeah...wewe tena? Wewe umo kwenye listi mbona....tena we ndo wa kwanza kabisa kwenye hiyo listi.
Sasa sijui nilikugongea wapi? Labda ndotoni.
Ulinigongea Landmark hotel
Kule beach banaYa Ubungo ama ile ya beach?