Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

shame on him!!!

ukute ana watoto kabisa!!
nyau kweli huyoo!!

[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daah!zangu huna evaa!![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] skrin shot
Ana watoto ndio ha ha ha ha ha
Wana hasara kuwa na baba chaunabe
 
Alikuwa dume yule..Alikuwa anazingua tu..Alikuja kukiri baadae baada ya maintel kumtaitisha
Aisee kuna wana ni wasemgerema mnoo.....I hope ni gasho...
Maaana aliharibu hali ya hewa gafla.....
 
Mimi siwezi kuchukulia poa mtu aliyenidhalilisha. I still hold grudges aisee, yani mtu amesoma na ameelimika kabisa anatoa mambo tuliyochat private..nah! Bahati mbaya huwa watu hawaonani, ningemlamba konzi hatari!!
Noo...kuna mda jambo likitokea unakua mpole mpk vinyweleo vyako vinashangaa!!
 
Back
Top Bottom