Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Mm ni big nyangumiNawe ni papa au Sato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm ni big nyangumiNawe ni papa au Sato
Evelyn sio wa mchezo mchezo [emoji28]Ha Ha Ha nipo full nna koba la umbea
Ana watoto ndio ha ha ha ha hashame on him!!!
ukute ana watoto kabisa!!
nyau kweli huyoo!!
[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daah!zangu huna evaa!![emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] skrin shot
Aisee kuna wana ni wasemgerema mnoo.....I hope ni gasho...Alikuwa dume yule..Alikuwa anazingua tu..Alikuja kukiri baadae baada ya maintel kumtaitisha
Safi sana wa big ndo wanajielewaMm ni big nyangumi
Bora tu umwage hapa hapa make hata ukienda pm yatasambaaaaah jamani kwa hiyo ndoano zetu tutupie huku huku sebuleni
Pole mkuu
Noo...kuna mda jambo likitokea unakua mpole mpk vinyweleo vyako vinashangaa!!Mimi siwezi kuchukulia poa mtu aliyenidhalilisha. I still hold grudges aisee, yani mtu amesoma na ameelimika kabisa anatoa mambo tuliyochat private..nah! Bahati mbaya huwa watu hawaonani, ningemlamba konzi hatari!!
Evelyn uyo mtoto wa kwenye pic mzuriHuwezi amini nlikaa kimya kama lowasa 😀
Hapa tu kuchat na wewe tayari unao[emoji86] [emoji86] [emoji86] kwa iyo eve nami ushanipa ngoma
Nitumie vocha nijiunge niwatumie tehNa zangu hauna eve
Sure sie watu wazima bwanaa...jf ni eneo km lngine popote waweza kutana na mtu mkaanza mahusiano yaka work out!Ha ha ha.... umesema kitu cha busara sana hasa kama wahusika watakizingatia.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]jaribu mpesa uone kama napo pako locked
Muniombee(in preziis voice) 😀😀😀Evelyn sio wa mchezo mchezo [emoji28]
akuuuhSita screenshot ucjal [emoji3][emoji3]
Sure..Nahisi genye ziliamia nyumaAisee kuna wana ni wasemgerema mnoo.....I hope ni gasho...
Maaana aliharibu hali ya hewa gafla.....
Ahsante, binti angu huyoEvelyn uyo mtoto wa kwenye pic mzuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ban ndo tunaogopa!Nataman wangekuwa wanawekwa wazi....nawao...!
Unamkumbuka yule binti alitishiaga kuweka wote waliom pm.....
Sijui yuko wapi dah...
ushindweeeHaaaaaa nipo kwa Gen nw sitaki michepuko
safi kukaa kimya jibu la mjinga!Huwezi amini nlikaa kimya kama lowasa 😀