Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
[emoji15] [emoji15] [emoji15] ngoja niende!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] ngoja niende!!
madam wapi?hebu tuelezee...
Weeh usiniambie una nn vya ziada eb mwaga seramimi sio mwanaume wa dar kwanza ukija kwangu hotojutia wewe ndio utanitangaza mimi sasa
Wametoamadam wapi?hebu tuelezee...
miss u Madame nani uyo aliyekufa mana tumengangania apa tu
hahaaaa!nani alizushiwa kifo!Wametoa
Watu wa Jf wakiamka na pombe zao, basi wanabandika chochote.
Ilikua n nini binamuWametoa
Watu wa Jf wakiamka na pombe zao, basi wanabandika chochote.
Nani jamani....
miss u Madame nani uyo aliyekufa mana tumengangania apa tu
hahaaaa!nani alizushiwa kifo!
Ally Kiba, kumbe ni rumours.....Jf ndo nachokaga hapa tu.Ilikua n nini binamu
Jirani yako Ally Kiba.Nani jamani....
Weeee uwe makini na tetesi nlikua naenda kupanda bus sahivi nitoke huku bush nijeAlly Kiba, kumbe ni rumours.....Jf ndo nachokaga hapa tu.
Na nyie kwanini mfunge PM zenu?
Mtakosa madili ya kutangaza vito vyenu nje ya nchi.
Au ndo Tigo pesa na M-Pesa zenu ziko wazi?
hahahhhAlly Kiba, kumbe ni rumours.....Jf ndo nachokaga hapa tu.
Na nyie kwanini mfunge PM zenu?
Mtakosa madili ya kutangaza vito vyenu nje ya nchi.
Au ndo Tigo pesa na M-Pesa zenu ziko wazi?
[emoji28][emoji28]Weeee uwe makini na tetesi nlikua naenda kupanda bus sahivi nitoke huku bush nije
Wanakosa Bahati mnoo....mtu unaenda pm ili umuombe namba umtumie mpesa bila kuhitaji chochoteAlly Kiba, kumbe ni rumours.....Jf ndo nachokaga hapa tu.
Na nyie kwanini mfunge PM zenu?
Mtakosa madili ya kutangaza vito vyenu nje ya nchi.
Au ndo Tigo pesa na M-Pesa zenu ziko wazi?
Hata mademu wako tena wengi tuusijapigwa screenshot ila kuna wanaume wana tabia hizo
Uje msibani au?Weeee uwe makini na tetesi nlikua naenda kupanda bus sahivi nitoke huku bush nije
Ndio, funguenihahahhh
Na ww ulishapigwa niniHata mademu wako tena wengi tuu
Hhahahha.....au wanaogopa tongozo?Wanakosa Bahati mnoo....mtu unaenda pm ili umuombe namba umtumie mpesa bila kuhitaji chochote
Unakuta kablok.....
tumefungua kuna wazee wa screenshot ukichat nao pm screenshot zinatembea tuNdio, fungueni