Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JamiiForums kwanini mnafunga PM zenu?

Ally Kiba, kumbe ni rumours.....Jf ndo nachokaga hapa tu.

Na nyie kwanini mfunge PM zenu?
Mtakosa madili ya kutangaza vito vyenu nje ya nchi.
Au ndo Tigo pesa na M-Pesa zenu ziko wazi?
Wanakosa Bahati mnoo....mtu unaenda pm ili umuombe namba umtumie mpesa bila kuhitaji chochote

Unakuta kablok.....
 
Back
Top Bottom