Sijawahi kupigwa ban, naomba msaada wadau.
Umepata idhini yake kutumia hiyo picha yake? Je, bandiko zako zinalinda hadhi yake katika jamii!You are not serious, is Oprah Winfrey a porn star?
Na ndicho kitakachofuata tena kwako muda c mrefuTarehe 24 Nililetaga mada flani nilikutana nayo narumu, moshi sasa wakaanzza kuniita mi mchawi.
siku hiyo nilifuka volkano kilichofuata nikala ban nikapewa na msala ilikuwa ni matusi. siku ya kutoka kifungoni ndo ikawa tarehe 1/5/2017.
kama na wewe unataka kula ban tukana weeeee nakuambia tukana utashangaa unaambiwa BANNED mpaka mwaka kesho ndo utafunguliwa.
shida yake huwezi kuona kinachoendelea humu
Naww huyu sio pornstar?? Au niww hiyo???Pole kwa ban
Povuu la omo linakusubiri..ngoja waje
Act yake ya pili imetajwa hapo labda..anajaribu kuisafisha hahahahahaNa ndicho kitakachofuata tena kwako muda c mrefu
Nimecheka kw sauti ha ha ha ha ha haaaaaaa asikufanye ukala banNdugu mimi nimegeuka takataka tena. naweza nikawa takataka nikiwa re-cycle kesho unaninunua dukani.
usinifanye nikala ban
Teh....kwanini zile video huangaliagi mkuu?Mkuu ninamfahamu Oprah the Talk Show Queen, huko kwenye video zake kutachafua Imani yangu.
no mkuuTeh....kwanini zile video huangaliagi mkuu?