Wanawake wa JF, kwanini mnatumia avatar za porn star? Naomba sababu

Nijuavyo wanaume walio wengi huwa wamejaaliwa busara ajabu la huyu mwenzenu aliyeshindwa kuwaza mara mbili
 
Tatizo huangalii porn.....ungekuwa unawajuaaa.....

Ila unawafahamu hahhaa
Hahahaaaaaa hata sitaki ku comnent mdogo angu jamaa ana visa na jina langu sio bure. I remain silence
 
Mkuu nadhani ungetumia busara zaidi kuliko kuwataja majina kurekebishana kupo hatukatai ila naona kama njia ulotumia kidogo haijawa vzr (MTAZAMO WANGU LKN)
 
Kupata public recognition sio kazi rahisi, hasa kama unaitafuta kwa nguvu. Pole mleta uzi.
 
Mkuu nadhani ungetumia busara zaidi kuliko kuwataja majina kurekebishana kupo hatukatai ila naona kama njia ulotumia kidogo haijawa vzr (MTAZAMO WANGU LKN)
Naona ume bold kuonyesha msisitizo, inaonekana Allepo ni threat humu ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…