Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,496
Mi Niko poaAtasutwa siku moja we muache tu.
Sijambo mumy. Mzima weye?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi Niko poaAtasutwa siku moja we muache tu.
Sijambo mumy. Mzima weye?
Nijuavyo wanaume walio wengi huwa wamejaaliwa busara ajabu la huyu mwenzenu aliyeshindwa kuwaza mara mbiliSioni kama ametumia busara kutaja majina hata kama aliona kuna ulazima kufikisha ujumbe .... ujumbe ufuatao ungetosha [emoji117] "pana members wa Jf wanatumia avatar za porn stars ninashauri waziache .... "
He might have good intention but approach was bad ..... this is the problem of how to deliver what you have ....
Uwe na siku njema myMi Niko poa
Afadhali umejionea mwenyeweHivi kuna watu wanatafuta visa eeeh, bby ndo naona et huu uzi duuuh
Nawe piaUwe na siku njema my
wacha dharau, fanya nilichokuagiza
Hahahaaaaaa hata sitaki ku comnent mdogo angu jamaa ana visa na jina langu sio bure. I remain silenceTatizo huangalii porn.....ungekuwa unawajuaaa.....
Ila unawafahamu hahhaa
Waache bbyto wala usihangaika nao. You know me well and ofcourse you remember all my avanters. Wala sina shida nae mwaache ajifurahishe. Jst be ok darlingAfadhali umejionea mwenyewe
Kumbe unapenda porno
OkayWaache bbyto wala usihangaika nao. You know me well and ofcourse you remember all my avanters. Wala sina shida nae mwaache ajifurahishe. Jst be ok darling
Hahahahahaha Yesu wangu watu mna maneno khaaaaa
Naona ume bold kuonyesha msisitizo, inaonekana Allepo ni threat humu ndaniMkuu nadhani ungetumia busara zaidi kuliko kuwataja majina kurekebishana kupo hatukatai ila naona kama njia ulotumia kidogo haijawa vzr (MTAZAMO WANGU LKN)
Yaaaap ni mtazamo tuuuuuuuuu tena wa kwangu pekee yanguNaona ume bold kuonyesha msisitizo, inaonekana Allepo ni threat humu ndani