Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Unashindwa Cha kumjibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyo jamaa amenichekesha sana, yupo very straight.
Sema naona hapa tunachanganya mada, kuna mtu kumtafuta mtu kwa sababu ambayo haihusiani na mapenzi, na kuna kutongoza.

Kwenye kutongoza, huwa tunaanza mdogo mdogo, unamchekesha huku unawasilisha matatizo yako. Kama ni wa kukuelewa atakuelewa tu.

Ila hizi nyingine unataka msaada, wewe sema tu habari, halafu tiririka shida yako. Mbona tumesaidiwa na tumesaidia wengi kwa mtindo huo



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi comments zimenigusa walaqhi maana naona kama nimefit kote, kupotezea PM za watu, Mimi mwenyewe kupotezewa na kubwa zaidi kupata marafiki wenye faida na pasua vichwa pia,

Hivyo PM kwangu zina historia ya kipekee haqyamama.!
Nimeipenda haqyamama
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeifanya siku yangu daaah[emoji23]
Angalia, mtu akikutext kwa mara ya kwanza.. mfano "mambo, pole kwa hofu ya corona.....nilikuwa natamani tuwe marafiki" inapendeza sana. Unakuwa unajua lengo lake moja kwa moja, kuliko kuniacha kwenye sintofahamu kwamba kwanini huyu kani-text.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wengi hawajielewi kabisa mtu anakuja pm badala ya salamu anaanza oyo uko pande za wapi? **
Hiyo hapo number nitafute whatsap utadhani alininunulie yeye simu **
Mara ooh wewe mrembo sana naomba picha sijui nani kamwambia kuwa nagawa picha

Lugha zenu sio nzuri kabisa !! Halafu wengi kujimwambafai kwingi wakati wanashindia mihogo .....** Badilikeni ....vingine mtakuwa mnakaushiwa sana ...na ukiona mwanamke mrembo jua huyo tayari ana mtu wake
Tafuta na ww wa kwako mtengeneze awe kama unavyopenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!
Si mchezo, hivi Khantwe na Saint Anne hapa ndio nakwama au??
 
Hizi comments zimenigusa walaqhi maana naona kama nimefit kote, kupotezea PM za watu, Mimi mwenyewe kupotezewa na kubwa zaidi kupata marafiki wenye faida na pasua vichwa pia,

Hivyo PM kwangu zina historia ya kipekee haqyamama.!
Hahahaaa!!! Umenikumbusha mbali hiyo ya PM kupotezewa kuna mtu mpaka leo sitamsahau lol.

Toooba!!! Mdomo koma. πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Hata sielewi kama ni barua ya kiofisi au lah. Ila napenda msg ya mtu aliyenyooka kwenye mada moja kwa moja. Hususani kwenye social media.
Yaani straight forward

"Salama Paula? Tafadhali naomba unikopeshe dawa ya korona ntakurudishia kesho. Naweka dhamana Covid 19 kama dhamana "

Tuonane PM mpenzi
 
I see!
Anasema wewe mrembo huku anaomba picha!
Lakini na wewe unajiita slay queen huoni kuwa unatutisha?
Mzima lakini mrembo?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…