Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unashindwa Cha kumjibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeipenda haqyamamaHizi comments zimenigusa walaqhi maana naona kama nimefit kote, kupotezea PM za watu, Mimi mwenyewe kupotezewa na kubwa zaidi kupata marafiki wenye faida na pasua vichwa pia,
Hivyo PM kwangu zina historia ya kipekee haqyamama.!
Angalia, mtu akikutext kwa mara ya kwanza.. mfano "mambo, pole kwa hofu ya corona.....nilikuwa natamani tuwe marafiki" inapendeza sana. Unakuwa unajua lengo lake moja kwa moja, kuliko kuniacha kwenye sintofahamu kwamba kwanini huyu kani-text.
Mwanangu hali ngumu huku, today tuna meeting na minister of tourism kwa ile issue alipost Zitto. Let's see
Ila yote kwa yote kila kitu kitakuwa sawa
Si lazima uendeleze, umeniuliza uzima wangu nimekujibu nikakuuliza na wewe nijibu basi nijue lengo lako lilikuwa tusalimiane sio tusumbuaneWanakosea sana.
Mimi sitafanya kosa hilo lazima niheshimu na kuendeleza convo[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwanini na wewe ulinipotezeaga etii..? 😂 😂Nimeipenda haqyamama
Hapana, dogo ana dharau sana huyo...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Luna siku unakuwaga kichizichizi wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio tunakoelekea bro.Maombi yanahitajika aisee.
Nimeona huku pia baadhi ya NGOs ambazo ni donor funded zimefunga ofisi kwa maagizo ya main donors.
Tunaona ngumu sababu mtu mwenyewe alishapost thread akianzisha urafiki for no reasons anaukatisha tu/hajisikii tena
Inauma
Ndio tunakoelekea bro.
Nasubiri maelekszo tu nami nilifungilie mbali nitafute sehemu nkapumzike
Ninavyomuogopa dada yako hahahaahahahahahNi kwanini na wewe ulinipotezeaga etii..? 😂 😂
Urafiki ukiwa na story nzuri haukatishwi.
Anhaaa...Hii comment imenifanya nicheke.
Asante kwa kuleta cheko usoni kwangu.
Hata mimi napenda mtu anayeenda moja kwa moja kwenye point. Namaanisha msg yake ya kwanza iwe na salamu na dhumuni la kunitafuta.
Duh!Wanaume wengi hawajielewi kabisa mtu anakuja pm badala ya salamu anaanza oyo uko pande za wapi? **
Hiyo hapo number nitafute whatsap utadhani alininunulie yeye simu **
Mara ooh wewe mrembo sana naomba picha sijui nani kamwambia kuwa nagawa picha
Lugha zenu sio nzuri kabisa !! Halafu wengi kujimwambafai kwingi wakati wanashindia mihogo .....** Badilikeni ....vingine mtakuwa mnakaushiwa sana ...na ukiona mwanamke mrembo jua huyo tayari ana mtu wake
Tafuta na ww wa kwako mtengeneze awe kama unavyopenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa!!! Umenikumbusha mbali hiyo ya PM kupotezewa kuna mtu mpaka leo sitamsahau lol.Hizi comments zimenigusa walaqhi maana naona kama nimefit kote, kupotezea PM za watu, Mimi mwenyewe kupotezewa na kubwa zaidi kupata marafiki wenye faida na pasua vichwa pia,
Hivyo PM kwangu zina historia ya kipekee haqyamama.!
Yaani straight forwardHata sielewi kama ni barua ya kiofisi au lah. Ila napenda msg ya mtu aliyenyooka kwenye mada moja kwa moja. Hususani kwenye social media.
For real man. This weekend naingia jijini hapo bro naweza nkakucheki maana naingia j1 jioni natoka je saa nne in shaa AllahYes, nadhani itakuwa uamuzi mzuri sana.
Atleast hata kwa mwezi tuangalie upepo.
Wanaume wengi hawajielewi kabisa mtu anakuja pm badala ya salamu anaanza oyo uko pande za wapi? **
Hiyo hapo number nitafute whatsap utadhani alininunulie yeye simu **
Mara ooh wewe mrembo sana naomba picha sijui nani kamwambia kuwa nagawa picha
Lugha zenu sio nzuri kabisa !! Halafu wengi kujimwambafai kwingi wakati wanashindia mihogo .....** Badilikeni ....vingine mtakuwa mnakaushiwa sana ...na ukiona mwanamke mrembo jua huyo tayari ana mtu wake
Tafuta na ww wa kwako mtengeneze awe kama unavyopenda
Sent using Jamii Forums mobile app