Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Duuuh!! Mdogo wangu umefanya nifute niandike nifute niandike nifute niandike Lol.dada PM nina hadithi nayo ndefu sana.!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh!! Mdogo wangu umefanya nifute niandike nifute niandike nifute niandike Lol.dada PM nina hadithi nayo ndefu sana.!
Nimekusamehe lakini sitakusahauHahahaaa!!! Umenikumbusha mbali hiyo ya PM kupotezewa kuna mtu mpaka leo sitamsahau lol.
Toooba!!! Mdomo koma. 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Hahaha mimi mbona niko poa tu inategemea tu wewe mwenyewe. Nifanyie ujinga nikufanyie upumbavu
Nashukuru Mungu kuwa uko na busara sana vinginevyo hali ya hewa ingekuwa imechafuka hapa.!Duuuh!! Mdogo wangu umefanya nifute niandike nifute niandike nifute niandike Lol.
Wanaume wengi hawajielewi kabisa mtu anakuja pm badala ya salamu anaanza oyo uko pande za wapi? **
Hiyo hapo number nitafute whatsap utadhani alininunulie yeye simu **
Mara ooh wewe mrembo sana naomba picha sijui nani kamwambia kuwa nagawa picha
Lugha zenu sio nzuri kabisa !! Halafu wengi kujimwambafai kwingi wakati wanashindia mihogo .....** Badilikeni ....vingine mtakuwa mnakaushiwa sana ...na ukiona mwanamke mrembo jua huyo tayari ana mtu wake
Tafuta na ww wa kwako mtengeneze awe kama unavyopenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa!!! Hiyo ndio poa sasa Mtani.Mtani uzee ndiyo unaniangusha mimi.
Maana sisi tumeshazoea kupeana salamu kwanza, kuulizana umeamkaje, majirani, ndugu, kuulizana hali ya hewa, bei za mazao na mifugo, mnada uliopita ilikuwaje nk
And then ndiyo swala la msingi lifate, sasa inaonekana hamtaki hizo mambo.
Kimtu kinakuja kabisa kinakusalimia vizuri kabisa,Hahahaaa!!! Umenikumbusha mbali hiyo ya PM kupotezewa kuna mtu mpaka leo sitamsahau lol.
Toooba!!! Mdomo koma. 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Aisee haya bhanaa
Hahahaaaa. LolNimekusamehe lakini sitakusahau
For real man. This weekend naingia jijini hapo bro naweza nkakucheki maana naingia j1 jioni natoka je saa nne in shaa Allah
Hii ndio nzuri sasa mtu anakusalimia swali linalofuata uko wapi? Yaani ndani ya siku moja anataka kujua unaishi wapi, una miaka mingapi, unafanya kazi gani, una watoto wangapi. Watu wa namna hii hata nikiwajibu huwa wanajibiwa lolote linalokuja kichwani muda huoMtani uzee ndiyo unaniangusha mimi.
Maana sisi tumeshazoea kupeana salamu kwanza, kuulizana umeamkaje, majirani, ndugu, kuulizana hali ya hewa, bei za mazao na mifugo, mnada uliopita ilikuwaje nk
And then ndiyo swala la msingi lifate, sasa inaonekana hamtaki hizo mambo.
Nani huyo anampotezea mrembo kama weweHizi comments zimenigusa walaqhi maana naona kama nimefit kote, kupotezea PM za watu, Mimi mwenyewe kupotezewa na kubwa zaidi kupata marafiki wenye faida na pasua vichwa pia,
Hivyo PM kwangu zina historia ya kipekee haqyamama.!
Sura mbovu, shepu kama umeanguka bafuna, sura kama denesi, mtu kama huyo anaringia nini sasa?
Umeonaee!!! 🙏Nashukuru Mungu kuwa uko na busara sana vinginevyo hali ya hewa ingekuwa imechafuka hapa.!
Hahahaaa!!! Hiyo ndio poa sasa Mtani.
Mbaya ni ile ambayo mtu anakuja huku hataki kuvijua vyote hivyo. 😀😀