Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Wanaume wengi hawajielewi kabisa mtu anakuja pm badala ya salamu anaanza oyo uko pande za wapi? **
Hiyo hapo number nitafute whatsap utadhani alininunulie yeye simu **
Mara ooh wewe mrembo sana naomba picha sijui nani kamwambia kuwa nagawa picha

Lugha zenu sio nzuri kabisa !! Halafu wengi kujimwambafai kwingi wakati wanashindia mihogo .....** Badilikeni ....vingine mtakuwa mnakaushiwa sana ...na ukiona mwanamke mrembo jua huyo tayari ana mtu wake
Tafuta na ww wa kwako mtengeneze awe kama unavyopenda

Sent using Jamii Forums mobile app

Huhuhu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtani uzee ndiyo unaniangusha mimi.

Maana sisi tumeshazoea kupeana salamu kwanza, kuulizana umeamkaje, majirani, ndugu, kuulizana hali ya hewa, bei za mazao na mifugo, mnada uliopita ilikuwaje nk

And then ndiyo swala la msingi lifate, sasa inaonekana hamtaki hizo mambo.
Hahahaaa!!! Hiyo ndio poa sasa Mtani.

Mbaya ni ile ambayo mtu anakuja huku hataki kuvijua vyote hivyo. 😀😀
 
Hahahaaa!!! Umenikumbusha mbali hiyo ya PM kupotezewa kuna mtu mpaka leo sitamsahau lol.

Toooba!!! Mdomo koma. 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Kimtu kinakuja kabisa kinakusalimia vizuri kabisa,
Unaweka mapozi pembeni unakijibu halafu kinakuchunia.! Ni kama kilikuwa kinakupima tu kama utamjibu ama la..!!

tukileta pozi mnatusema, tukiwa wastaarabu tukajibu mnaanza kutu take for granted.! Na tutawachunia mpaka mkome.!
 
Mtani uzee ndiyo unaniangusha mimi.

Maana sisi tumeshazoea kupeana salamu kwanza, kuulizana umeamkaje, majirani, ndugu, kuulizana hali ya hewa, bei za mazao na mifugo, mnada uliopita ilikuwaje nk

And then ndiyo swala la msingi lifate, sasa inaonekana hamtaki hizo mambo.
Hii ndio nzuri sasa mtu anakusalimia swali linalofuata uko wapi? Yaani ndani ya siku moja anataka kujua unaishi wapi, una miaka mingapi, unafanya kazi gani, una watoto wangapi. Watu wa namna hii hata nikiwajibu huwa wanajibiwa lolote linalokuja kichwani muda huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi comments zimenigusa walaqhi maana naona kama nimefit kote, kupotezea PM za watu, Mimi mwenyewe kupotezewa na kubwa zaidi kupata marafiki wenye faida na pasua vichwa pia,

Hivyo PM kwangu zina historia ya kipekee haqyamama.!
Nani huyo anampotezea mrembo kama wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom