Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Lazima itakuwa tulianzia kwa Liverpool ama Manchester United,hebu na mie nikaangalie
Hahaha, inawezekana.
Kama ndivyo basi mpira uendelee kudumu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima itakuwa tulianzia kwa Liverpool ama Manchester United,hebu na mie nikaangalie
Hii ndio nzuri sasa mtu anakusalimia swali linalofuata uko wapi? Yaani ndani ya siku moja anataka kujua unaishi wapi, una miaka mingapi, unafanya kazi gani, una watoto wangapi. Watu wa namna hii hata nikiwajibu huwa wanajibiwa lolote linalokuja kichwani muda huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwenye convo tu hadi kwenye komenti, kama unaweza tafuta komenti yako ya mwisho mimi kukuquote ndio utaelewaNdio [emoji23][emoji23]
Nenda kasome Convo yote utagundua kitu
And useme mwenyewe
Hahaha lohKuna mmoja aliniPM picha ya mdada....ikabidi nimuulize hiyo picha ni ya nani?akaninijibu eti ni mimi huyo kwenye picha
Nikabaki hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!JF ina vichaa
Teh sio kwa mimiHistoria ya humu inaonyesha mkianza kwa ugomvi mnaishia kua wapenzi...jitahidi kugombana nae mkuu lazima mtakua na mwisho mzuriii
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama tumewahi kuwasiliana kabla ndio naweza nikakwambia ukweli kuhusu hali yangu.Hizi za Kwenda moja kwa moja Kwenye mada sio nzuri Sana.
Unakuta mtu anakupm kaandika"kwa Jina la mapenzi karibu moyoni"
Hiyo Ni text yake ya kwanza juu kabisa.
Ni vema mtu anapokupm akaanza na salamu na kukujulia Hali kwanza.
Hii inatoa nafasi ya kujua Khali ya mtu anayewasiliana Naye,mf kujua Kama Ni mzima,mgonjwa, Kuna shida anapitia au Yuko bize .
Kuanza tu kujieleza moja kwa moja kwa mtu,unaweza jieleza kumbe Ana Shida au anaumwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa. Lol.Kimtu kinakuja kabisa kinakusalimia vizuri kabisa,
Unaweka mapozi pembeni unakijibu halafu kinakuchunia.! Ni kama kilikuwa kinakupima tu kama utamjibu ama la..!!
Hahahahaaa!! Lol.tukileta pozi mnatusema, tukiwa wastaarabu tukajibu mnaanza kutu take for granted.! Na tutawachunia mpaka mkome.!
Nimecheka sana hiyo ID eti breki ya kenge!! Ha ha haKwa Hilo jina mkuu,hata ningekuwa mimi nimepata pm yako nisingeijibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah,uendelee kudumuHahaha, inawezekana.
Kama ndivyo basi mpira uendelee kudumu.
Yeah,uendelee kudumu
Ni vile tu Corona inatusogezea siku mbele za kuchukua ubingwa sisi Liver
Hahahaaa. Sitires auti Mtani.Sawa mtani, naona sasa hivi unajimwaya mwaya tu kwa raha zako. Maumivu ya sare na vipigo yameahirishwa.
Aisee [emoji28][emoji28][emoji28]Sura mbovu, shepu kama umeanguka bafuna, sura kama denesi, mtu kama huyo anaringia nini sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa. Sitires auti Mtani.
Yaani hii Corona angalau imetupumzisha sasa.
Wanafanya Glenn. Kupima upepo ni kama unataka kutongoza.Aaaa Paula Paul, huwezi kufanya vyote kwa panoha, mengine huwa tuna pima upepo ndipo tufunguke, hii inategemea na mapokezi yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulishajua mnammendea. 😀😀Sitires is onile positiponid.
It will come.
Naona mpanda mipira kapata mkataba baada ya kutufunga.
Tulishajua mnammendea. 😀😀
Mkuu bado nakuona na huku pia kuacha kule kwingn!Okey madam, Ngoja foleni zipungue huko, wengine hatuwezi competitions, haha
Kasome kwanza ile Convoo kipenzi just go and readSio kwenye convo tu hadi kwenye komenti, kama unaweza tafuta komenti yako ya mwisho mimi kukuquote ndio utaelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie si wavurugaji tu Mtani. Kikubwa ingekuwa sisi tukose na sio kwamba atakuwa na anafasi kwenu.Yule angekuja tu kuwekwa benchi kama wenzake kina Gadiel na Ajibu. Hana maajabu.