Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Hiyo sikupendiii unajua siyo ya kweli, ni ya kimpira tu.

Ila siku ile ilikuwa noma sana, halafu nilikuwa chimbo ambalo mimi ndo kiongozi wa washabiki wa Liver, nimeenda na matokeo mfukoni.

Naijua hiyo feeling ya kuwa na matokeo mfukoni halafu ikatokea tofauti,mie nilikuwa naishia kulia sana tu
 
Ni kwelii wagombanao ndio wapatanao.....kwa mimi nisiejua ugomvi wala kumind mtu humu nitaishia kuwaita shemeji tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Kuna mtu aliwahi nijia PM kwa swagg moja ya kimafia,
Nika plan nimvuruge mpaka anyooke yaani aliniboa mpaka nikajiuliza kanionaje huyu!??

Guess how that turns out to be!!? Ni mwaka umetimu mpaka sasa kila tukikumbuka huwa tunacheka sana!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naijua hiyo feeling ya kuwa na matokeo mfukoni halafu ikatokea tofauti,mie nilikuwa naishia kulia sana tu

Mimi silii, nikinywa maji lita moja na nusu hasira zinaisha.

Nabaki nawaachia wenye timu wahangaike nayo.
 
Hahaha nitarudi ligi zikirudi..nikija tuongelee mipira tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...hata mimi nakumis sana huko pm lakini nikija sina zaidi ya

Mambo

Umekula?

Umevaa nin?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Badilika basi,unajua huwa nakumiss sana kule PM [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna maswali nachukia kama 'umeshapanda kitandani'? 'Umevaa nini'? Hata shemeji yako maswali haya huwa simjibu (hilo la umevaa nini)sembuse we stranger wa Jf [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawaza ngono muda wote halafu tatizo hawajui maneno matamu ya kutumia yaani badala akunyegeshe unapata hasira.
Hlf mwingine ndo siku ya kwanza anaanza tu hivyo utadhani mmekubaliana muwe wapenzi. Wanaboaaaaaa[emoji34][emoji34][emoji34]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha nitarudi ligi zikirudi..nikija tuongelee mipira tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...hata mimi nakumis sana huko pm lakini nikija sina zaidi ya

Mambo

Umekula?

Umevaa nin?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Swali la umevaa nini hujawahi kuniuliza bhana

Niulize leo usiku basi 😂😂😂
 
Back
Top Bottom