Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Nimeenda PM kwa wanawake 29, mmoja tuu ndio nilimwambia mambo akajibu "kwa yesu!" wengine wote wapo kimya, nioneeni huruma nahitaji upendo wenu, wadada wa jf nawapenda sana jibuni meseji.

Nipate hata mmoja wa kupiga nae story tam tam namimi najua kupenda haswaaa!!

Halafu nikionaga tuu jina la dada ya jf kuna kaharufu kananijia puani inaonekana muwasafi na wazuri na mna ladha nzuri sana, nahitaji kampani yenu.

Nyie ndio kimbilio letu hapa JF

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepaliwa na maji kwa kucheka[emoji23][emoji23]...kwambaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawaza ngono muda wote halafu tatizo hawajui maneno matamu ya kutumia yaani badala akunyegeshe unapata hasira.
Hlf mwingine ndo siku ya kwanza anaanza tu hivyo utadhani mmekubaliana muwe wapenzi. Wanaboaaaaaa[emoji34][emoji34][emoji34]

Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka hao ni watoto, katika kumbukumbu zangu sikumbuki kama hilo swali la umevaa nini niliwahi kuuliza. Hizi mambo za umekula nini sina muda nazo ukisema siko romantic utajua mwenyewe

Poleni na corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usijali..leo nikija ni ku flirt tu,

Japo hapa jeifu ukiflirt na mamanzi jukwaani unaambiwa umewakula[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilimpa salamu dada mmoja piemu akanimbia ishia hapo hapo unataka kuniongeza kwenye list??

Sijarudii tena
Swali la umevaa nini hujawahi kuniuliza bhana

Niulize leo usiku basi [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka hao ni watoto, katika kumbukumbu zangu sikumbuki kama hilo swali la umevaa nini niliwahi kuuliza. Hizi mambo za umekula nini sina muda nazo ukisema siko romantic utajua mwenyewe

Poleni na corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uromantic huwa unaflow tu wenyewe, yaani kuulizana umevaa Nini au chupi ya rangi gani from nowhere inakata stimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom