Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Nimepaliwa na maji kwa kucheka[emoji23][emoji23]...kwambaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka hao ni watoto, katika kumbukumbu zangu sikumbuki kama hilo swali la umevaa nini niliwahi kuuliza. Hizi mambo za umekula nini sina muda nazo ukisema siko romantic utajua mwenyewe

Poleni na corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usijali..leo nikija ni ku flirt tu,

Japo hapa jeifu ukiflirt na mamanzi jukwaani unaambiwa umewakula[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilimpa salamu dada mmoja piemu akanimbia ishia hapo hapo unataka kuniongeza kwenye list??

Sijarudii tena
Swali la umevaa nini hujawahi kuniuliza bhana

Niulize leo usiku basi [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka hao ni watoto, katika kumbukumbu zangu sikumbuki kama hilo swali la umevaa nini niliwahi kuuliza. Hizi mambo za umekula nini sina muda nazo ukisema siko romantic utajua mwenyewe

Poleni na corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uromantic huwa unaflow tu wenyewe, yaani kuulizana umevaa Nini au chupi ya rangi gani from nowhere inakata stimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…