😂 😂 😂 😂 😂Jamaa: Mambo
Mie: poa
Jamaa: Uko poa?
Mie: yeah sijambo
Jamaa: Mambo yanaendaje lakini.
Mie: Yanaenda vizuri nashukuru
Jamaa: Niambie
Mie: Nipo tu sina mpya
Jamaa: Umevaa nini?
Mie: [emoji849] suruali na t-shirt
Jamaa: kwani kuna baridi? Natamani nije nikuvue
Mie: [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
***Kiukweli wengi ni pumba tu hawana la maana kila siku maswali hayo hayo , salamu inajirudia mara mia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa nashangaa inakuwaje mtu anatumiwa message hajibu? Nikagundua huku kuna mataahira huwa wanatuma meseji kwa kujaribu au sijui nisemeje? Jitu linakupm leo 'mambo'? Unalijibu hapo hapo 'poa vipi'? Halijibu linapotea. Sasa hivi nikiona mtu simuelewi amenipm nafuta na ku-unfollow wala sihangaiki naye
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli. Kwangu ni kinyume chake.Paula niamini kuwa 99% ya wanaume wanaokuja pm lengo kuu ni kutongoza.
1% tu pekee ni masuala ya kawaida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una wake wawili tayari Zurri?Hii inaonekana kweli kabisa ngoja nikomae na mgomvi wangu mmoja hivi, anaweza akawa mke wangu wa tatu.
Naingia kazini rasmi.
Sio kweli. Kwangu ni kinyume chake.
99% ni issue nyingine kabisa. Hiyo asilimia moja sina uhakika sana.
C'ssy ukishatenda majukumu yako mbele za Mungu, hayo mengine ya kukusamehe ama kutokukusamehe unamuachia yeye mwenyewe, Hapo utakuwa huhusiki tena.!Hahahaaaa. Lol.
Mdogo wangu mi tukio langu ni la kinyume kabisa. Yaani kuna mtu nilimkosea jukwaani mwenzangu si nikasema nikamtake radhi kwa PM. Weeee sikumbukagi hata kama alinijibu aiseee.
Mana nilikaa baada ya wiki nikaifuta ile PM na kuignore future msgs mana nilikuwa namuona anaandika majukwaani. Daaah.
Sijui ndio alinisamehe au bado mana hata sigongani naye siku hizi. Itokee tu japo nikigongana na comments zake kama ameandika vyenye kunifaa nampaga likes. 😅😅😅
Hahahahaaa!! Lol.
Mleta uzi asome ulichoandika hapo huenda akaelewa nini umemaanisha mdogo wangu.
Una wake wawili tayari Zurri?
Heee ni kwamba wanagroup lao humu wanachat eeeh [emoji23][emoji23][emoji23]Usijali..leo nikija ni ku flirt tu,
Japo hapa jeifu ukiflirt na mamanzi jukwaani unaambiwa umewakula[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilimpa salamu dada mmoja piemu akanimbia ishia hapo hapo unataka kuniongeza kwenye list??
Sijarudii tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja in which way.??
bora apotee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unamjibu poa alafu anakwambia 'niambie'
Ndio nimemaanisha wanaume wanaopm kwangu.
Kwani kuwa karibu ni lazima muwe wapenzi??Ni kwelii wagombanao ndio wapatanao.....kwa mimi nisiejua ugomvi wala kumind mtu humu nitaishia kuwaita shemeji tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mara ya kwanza naona leo umeona ugumu wa swali.Katika maswali magumu kuwahi kuulizwa hili ni moja wapo.
Nitakujibu tu usijali.
Paula paulo mambo? Umekula?Sio kweli. Kwangu ni kinyume chake.
99% ni issue nyingine kabisa. Hiyo asilimia moja sina uhakika sana.
Mwengine huyu [emoji23][emoji23][emoji23]Cheki PM bby