Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Jamaa: Mambo

Mie: poa

Jamaa: Uko poa?

Mie: yeah sijambo

Jamaa: Mambo yanaendaje lakini.

Mie: Yanaenda vizuri nashukuru

Jamaa: Niambie

Mie: Nipo tu sina mpya

Jamaa: Umevaa nini?

Mie: [emoji849] suruali na t-shirt

Jamaa: kwani kuna baridi? Natamani nije nikuvue

Mie: [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]

***Kiukweli wengi ni pumba tu hawana la maana kila siku maswali hayo hayo , salamu inajirudia mara mia.

Sent using Jamii Forums mobile app
😂 😂 😂 😂 😂
Hivi ni nini lakini?? Nije nikufanyaje??
 
Nilikuwa nashangaa inakuwaje mtu anatumiwa message hajibu? Nikagundua huku kuna mataahira huwa wanatuma meseji kwa kujaribu au sijui nisemeje? Jitu linakupm leo 'mambo'? Unalijibu hapo hapo 'poa vipi'? Halijibu linapotea. Sasa hivi nikiona mtu simuelewi amenipm nafuta na ku-unfollow wala sihangaiki naye

Sent using Jamii Forums mobile app

bora apotee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unamjibu poa alafu anakwambia 'niambie'
 
Kutokujibiwa kunaweza kuchangiwa na wewe mwenyewe unavyoingia huko PM

mimi ukinitumia short txt ukaniandikia "mambo" huwa sijibu kabisa hyo ipo hivyo

atleast nianzishie kwa "Mambo CONTROLA" hapo jibu utalipata vizuri na Tamu kbs
 
Hahahaaaa. Lol.

Mdogo wangu mi tukio langu ni la kinyume kabisa. Yaani kuna mtu nilimkosea jukwaani mwenzangu si nikasema nikamtake radhi kwa PM. Weeee sikumbukagi hata kama alinijibu aiseee.

Mana nilikaa baada ya wiki nikaifuta ile PM na kuignore future msgs mana nilikuwa namuona anaandika majukwaani. Daaah.

Sijui ndio alinisamehe au bado mana hata sigongani naye siku hizi. Itokee tu japo nikigongana na comments zake kama ameandika vyenye kunifaa nampaga likes. 😅😅😅

Hahahahaaa!! Lol.

Mleta uzi asome ulichoandika hapo huenda akaelewa nini umemaanisha mdogo wangu.
C'ssy ukishatenda majukumu yako mbele za Mungu, hayo mengine ya kukusamehe ama kutokukusamehe unamuachia yeye mwenyewe, Hapo utakuwa huhusiki tena.!
Ila kitendo cha kukuchunia while ulijishusha kwake ni dharau ya kiwango kikubwa, nimekusaidia ku-mtseeuuw kimoyomoyo.!!

Enwei, Mungu amsaidie kuwa na roho ya kusamehe na kuachilia.!!

Ombi moja, nigaie unyenyekvu please.!!
 
kuna wale Ambao Paula Paul anataka wakimfata PM waje straight to the point

asee nyie mfateteni paula tu ila mnaokujaga kwangu huwa siwajibu kabisa,mwanifahamu.

Jitu linakuja no salamu,hulijui,hamjawahi hata kugumiana kwenye thread huko

linaanza kutiririka sijui Ana mtaji wa kiasi kadhaaa,ana taka kufanya A,B,C so nimsaidie

mawazo Hawa raia nawatukanaga kimoyo moyo (fahamuni hilo) na siwajbu wengi sana.

Huwezi nifata mimi straight ukaanza eleza shda zako as if mimi ni mtatuzi wa matatizo yako.

Jitu linakuja linakutext "mambo,Naomba namba yako ya simu" hawa maandazi ninao PM

wengi sana,yani unakurupuka tu kurupu kurupu unaniomba namba,Maana ya PM ni nini?

nimechoka waelimisha huko PM tangu 2020 iiingie wanajibiwa wastaarabu tu na wanaojielewa.
 
Ndugu yangu secretary POMPEO nina wasi wasi na msg zako huko PM mpk unachuniwa.

Yawezekana unaandika "Mamb","Mmb" badala ya Mambo

Yawezekana unaforce vitu kama kuandika "Mambo mpenzi","Mambo Mrembo",nk wanawake

wanaojielewa ukimuita Mpenzi,Mrembo,mchumba From nowhere hakujui,humjui asee akikujibu

katambike au katoe sadaka ya shukuran,lazima kuna jinsi unakosea ktk hizo salamu zako.
 
H
Usijali..leo nikija ni ku flirt tu,

Japo hapa jeifu ukiflirt na mamanzi jukwaani unaambiwa umewakula[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilimpa salamu dada mmoja piemu akanimbia ishia hapo hapo unataka kuniongeza kwenye list??

Sijarudii tena


Sent using Jamii Forums mobile app
Heee ni kwamba wanagroup lao humu wanachat eeeh [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanapeana Updates Ausio za ID zetu wanaume
 
Ni kwelii wagombanao ndio wapatanao.....kwa mimi nisiejua ugomvi wala kumind mtu humu nitaishia kuwaita shemeji tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuwa karibu ni lazima muwe wapenzi??
Kuna watu mnakuwa na ukaribu wa faida sana tu na hamna hata chembe ya mahusiano.!
you can have a very good friend in here.!!
 
Back
Top Bottom