Acha kabisa.Kwa mara ya kwanza naona leo umeona ugumu wa swali.
Shauri yako mkuu.
Mazingira haya haya kuna watu wamepata kazi humu, kuna watu wameoa na kuolewa humu humu, kuna watu wamepata mtoto/watoto humu.
Jidanganyeni tu
Ndio nimemaanisha wanaume wanaopm kwangu.
😂 😂 😂 😂
Mkuu bado nakuona na huku pia kuacha kule kwingn!
Haha.!Tukufundishe?hii kitu inrun kwenye family yetu😆....ni ile mambo watu wanasema automatic
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Good Lord.! Halafu mdogo wangu nilikumaindi siku ile hatari..! Nikasema this soul akiingia kwa anga zangu nahakikisha anaandika historia.!!
Yakaishia wapi..!?
Hazard CFC mdogo wangu, tafuta ugomvi na wadada 'bunu hii mbunu' ni matata sana!
Ambao huwa wanauliza kwa nini wadada wanafunga PM waje hapa wachukue majibu. Wengine huwa wanajiropokea eti wanaogopa kutongozwa....umri huu niogope kutongozwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Historia ya humu inaonyesha mkianza kwa ugomvi mnaishia kua wapenzi...jitahidi kugombana nae mkuu lazima mtakua na mwisho mzuriii
Sent using Jamii Forums mobile app
Controla sijamaanisha pasiwe na salamu, hapana.kuna wale Ambao Paula Paul anataka wakimfata PM waje straight to the point
asee nyie mfateteni paula tu ila mnaokujaga kwangu huwa siwajibu kabisa,mwanifahamu.
Jitu linakuja no salamu,hulijui,hamjawahi hata kugumiana kwenye thread huko
linaanza kutiririka sijui Ana mtaji wa kiasi kadhaaa,ana taka kufanya A,B,C so nimsaidie
mawazo Hawa raia nawatukanaga kimoyo moyo (fahamuni hilo) na siwajbu wengi sana.
Huwezi nifata mimi straight ukaanza eleza shda zako as if mimi ni mtatuzi wa matatizo yako.
Jitu linakuja linakutext "mambo,Naomba namba yako ya simu" hawa maandazi ninao PM
wengi sana,yani unakurupuka tu kurupu kurupu unaniomba namba,Maana ya PM ni nini?
nimechoka waelimisha huko PM tangu 2020 iiingie wanajibiwa wastaarabu tu na wanaojielewa.
Jamaa: Mambo
Mie: poa
Jamaa: Uko poa?
Mie: yeah sijambo
Jamaa: Mambo yanaendaje lakini.
Mie: Yanaenda vizuri nashukuru
Jamaa: Niambie
Mie: Nipo tu sina mpya
Jamaa: Umevaa nini?
Mie: [emoji849] suruali na t-shirt
Jamaa: kwani kuna baridi? Natamani nije nikuvue
Mie: [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
***Kiukweli wengi ni pumba tu hawana la maana kila siku maswali hayo hayo , salamu inajirudia mara mia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ujasili wa kuuliza hayo maswali sijui wanaupata wapi ndo tunarudi kulekule kwenye maturity. Hamja fahamiana vizuri mnaanza kuulizana hizo mambo.Uromantic huwa unaflow tu wenyewe, yaani kuulizana umevaa Nini au chupi ya rangi gani from nowhere inakata stimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu tuu ndio au hapana.Acha kabisa.
Una maswali magumu sana mrembo.
Kwani kuwa karibu ni lazima muwe wapenzi??
Kuna watu mnakuwa na ukaribu wa faida sana tu na hamna hata chembe ya mahusiano.!
you can have a very good friend in here.!!
Sawa mkuuAisee kwa huu uzi kumbe kila kitu kinataka shule, muendelee hivi hivi kutupa shule, ipo siku tutabadilika.
Ahsante.
Naunga mkono hili.Hii inategemea mmekutana kwenye uzi gani.
Kuna nyuzi hasa masuala ya uchumi na elimu huwa na madhui tofauti na chitchat ambapo mara nyingi huzungumzia mahusiano na mapenzi..
Hapa mrengo wa kujiana pm huwa ni muendelezo cha mnachozungumzia jukwaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaa!!! Mdogo wangu hapo kwenye red umefanya nimecheka sana hapa lol.C'ssy ukishatenda majukumu yako mbele za Mungu, hayo mengine ya kukusamehe ama kutokukusamehe unamuachia yeye mwenyewe, Hapo utakuwa huhusiki tena.!
Ila kitendo cha kukuchunia while ulijishusha kwake ni dharau ya kiwango kikubwa, nimekusaidia ku-mtseeuuw kimoyomoyo.!!
Enwei, Mungu amsaidie kuwa na roho ya kusamehe na kuachilia.!!
Yabidi nikupunguzie mdogo wangu. Uje nikugee kwa kweli. 😂Ombi moja, nigaie unyenyekvu please.!!