Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Nimefarijika sana.

Asante sana cute eyes
Screenshot_20200323-113113.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka nigombane na Joanah ila bado sijapata sababu za kulianzisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Good Lord.! Halafu mdogo wangu nilikumaindi siku ile hatari..! Nikasema this soul akiingia kwa anga zangu nahakikisha anaandika historia.!!
Yakaishia wapi..!?

Hazard CFC mdogo wangu, tafuta ugomvi na wadada 'bunu hii mbunu' ni matata sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna wale Ambao Paula Paul anataka wakimfata PM waje straight to the point

asee nyie mfateteni paula tu ila mnaokujaga kwangu huwa siwajibu kabisa,mwanifahamu.

Jitu linakuja no salamu,hulijui,hamjawahi hata kugumiana kwenye thread huko

linaanza kutiririka sijui Ana mtaji wa kiasi kadhaaa,ana taka kufanya A,B,C so nimsaidie

mawazo Hawa raia nawatukanaga kimoyo moyo (fahamuni hilo) na siwajbu wengi sana.

Huwezi nifata mimi straight ukaanza eleza shda zako as if mimi ni mtatuzi wa matatizo yako.

Jitu linakuja linakutext "mambo,Naomba namba yako ya simu" hawa maandazi ninao PM

wengi sana,yani unakurupuka tu kurupu kurupu unaniomba namba,Maana ya PM ni nini?

nimechoka waelimisha huko PM tangu 2020 iiingie wanajibiwa wastaarabu tu na wanaojielewa.
Controla sijamaanisha pasiwe na salamu, hapana.
Ila nimemaanisha baada ya salamu unganisha tuu dhumuni lako la kunipm.

Basi nahisi siku niki-kupm hautanijibu maana nitaenda moja kwa moja kwenye mada baada ya kutanguliza salam.
 
Jamaa: Mambo

Mie: poa

Jamaa: Uko poa?

Mie: yeah sijambo

Jamaa: Mambo yanaendaje lakini.

Mie: Yanaenda vizuri nashukuru

Jamaa: Niambie

Mie: Nipo tu sina mpya

Jamaa: Umevaa nini?

Mie: [emoji849] suruali na t-shirt

Jamaa: kwani kuna baridi? Natamani nije nikuvue

Mie: [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]

***Kiukweli wengi ni pumba tu hawana la maana kila siku maswali hayo hayo , salamu inajirudia mara mia.

Sent using Jamii Forums mobile app

khaaa
 
Uromantic huwa unaflow tu wenyewe, yaani kuulizana umevaa Nini au chupi ya rangi gani from nowhere inakata stimu

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ujasili wa kuuliza hayo maswali sijui wanaupata wapi ndo tunarudi kulekule kwenye maturity. Hamja fahamiana vizuri mnaanza kuulizana hizo mambo.

Kwani Demi hapo umekaaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii inategemea mmekutana kwenye uzi gani.
Kuna nyuzi hasa masuala ya uchumi na elimu huwa na madhui tofauti na chitchat ambapo mara nyingi huzungumzia mahusiano na mapenzi..
Hapa mrengo wa kujiana pm huwa ni muendelezo cha mnachozungumzia jukwaani

Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hili.
Kwa asilimia zote 100. Hii yawezekana ndio sababu.
 
C'ssy ukishatenda majukumu yako mbele za Mungu, hayo mengine ya kukusamehe ama kutokukusamehe unamuachia yeye mwenyewe, Hapo utakuwa huhusiki tena.!
Ila kitendo cha kukuchunia while ulijishusha kwake ni dharau ya kiwango kikubwa, nimekusaidia ku-mtseeuuw kimoyomoyo.!!

Enwei, Mungu amsaidie kuwa na roho ya kusamehe na kuachilia.!!
Hahahahaaa!!! Mdogo wangu hapo kwenye red umefanya nimecheka sana hapa lol.

Hakika usemalo na siku zote sisi ni wanadamu na sio malaika.
Ombi moja, nigaie unyenyekvu please.!!
Yabidi nikupunguzie mdogo wangu. Uje nikugee kwa kweli. 😂
 
Back
Top Bottom