Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Kuna mdada nilimpm baada ya kusalimiana na maongez ya hapa na pale akadai mtungi wa gesi ,gesi yake imeisha anahitaji 180,000/= nikamwambia nitumie namba yako nikutumie naona mpaka leo kakimbia Sasa sijui alitaka nimtumie kwa njia gani[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]

kilicho akilini kitumie
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mtu alitung'ang'ania eti hizi I'd mbili zinamilikiwa na mtu mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu huwa sijui ni kwanini kuna watu huwa wanafanana uandishi na swaggs na baadhi huamini ni mtu mmoja, kumbe walaa'..!

Wewe na Joanah mna ufanano ka kaumafia flani, na kujiamini kusiko kawaida na yale majibu yenu flani hivii ya kuwekwa quarantine.!! 😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Malizia ikawaje sasa?
Carleen hebu futa hilo neno "mdogo angu"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Good Lord.! Halafu mdogo wangu nilikumaindi siku ile hatari..! Nikasema this soul akiingia kwa anga zangu nahakikisha anaandika historia.!!
Yakaishia wapi..!?

Hazard CFC mdogo wangu, tafuta ugomvi na wadada 'bunu hii mbunu' ni matata sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu huwa sijui ni kwanini kuna watu huwa wanafanana uandishi na swaggs na baadhi huamini ni mtu mmoja, kumbe walaa'..!

Wewe na Joanah mna ufanano ka kaumafia flani, na kujiamini kusiko kawaida na yale majibu yenu flani hivii ya kuwekwa quarantine.!! [emoji23]
Haki nimecheka eti majibu ya kuwekwa quarantine [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu huwa sijui ni kwanini kuna watu huwa wanafanana uandishi na swaggs na baadhi huamini ni mtu mmoja, kumbe walaa'..!

Wewe na Joanah mna ufanano ka kaumafia flani, na kujiamini kusiko kawaida na yale majibu yenu flani hivii ya kuwekwa quarantine.!! 😂

Hahahahh eti majibu ya kuwekwa quarantine!!
 
Msg zao

Hi cute

Hello Mamito

Hi Cham


Hello usingiz wangu

Yaan msg zako ukicomment unaonekana una ulimi mtamu

Nk. Ukiwaandikia maneno matamu matamu wanajiona wako sijui sayar gani

Sasa mm na wew hatujawah kuonana kwann nianze kukupa sifa zisizo????


kilicho akilini kitumie
 
Nimeenda PM kwa wanawake 29, mmoja tuu ndio nilimwambia mambo akajibu "kwa yesu!" wengine wote wapo kimya, nioneeni huruma nahitaji upendo wenu, wadada wa jf nawapenda sana jibuni meseji.

Nipate hata mmoja wa kupiga nae story tam tam namimi najua kupenda haswaaa!!

Halafu nikionaga tuu jina la dada ya jf kuna kaharufu kananijia puani inaonekana muwasafi na wazuri na mna ladha nzuri sana, nahitaji kampani yenu.

Nyie ndio kimbilio letu hapa JF

Sent using Jamii Forums mobile app
Broo ukiona kimya ujue sio wadada,wanatumia ID za kike kumbe ni waume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe hata usiponisalimia ni sawa tu kwasababu,tumeshagongana huku

kwenye ma thread kibao,ukini quote,niki ku quote,reactions,nk nk

ila kuna ile mijitu kwanza hata huna mazoea nalo,linakuparamia as if

mnajuana miaka na miaka aina hyo ndio nisiowataka kabisa yani.
Indeed, inapendeza kama mmewahi kukutana kwenye mijadala mbali mbali. Hata ukienda mp, mhusika anakuwa tayari anakujua.
 
Back
Top Bottom