Hawachi kazi ya kumuita Bro Shimba, naomba uniachie mie tafadhali.!!Hadi Simba kakufungia pm
😁😁😁😁😁Hawachi kazi ya kumuita Bro Shimba, naomba uniachie mie tafadhali.!!
Umeona eeh??? Nashukuru umeleta mfano hai [emoji16][emoji16][emoji16]Hadi Simba kakufungia pm
Ngoja nireview tena messages zangu.Halafu sio kwenye "shida" ni kunyooka kwenye "lengo".
Wewe haujawahi kuletwa kwa shida zaidi sana unakujaga kunifariji.
[emoji16][emoji16][emoji16] mwenzio katumia tafsida we unafungua code khaaa. Hawezi kuja hata ukimuita, niamini mimiHawachi kazi ya kumuita Bro Shimba, naomba uniachie mie tafadhali.!!
NdiyoMi nadhani hofu na mashaka yako ina anza kwa kujiuliza inakuwaje mtu afikirie kujiita kwa id hiyo? Tokea hapo kichwa kinakupa majibu tofauti, kibaya zaidi akute uko mood less inakua hatari na nusu asee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hata Mimi huwa nakwazika.
Halafu unamuelekeza mtu kwa upole,hapohapo unamaliza tu kumwambia anakujibu "pow" au "p"
Yaani ukishaniandikia hivyo,hata ungekuwa na mambo gani ya maana ya kuniambia sikujibu Tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ulikuja kiuanaume hasa si kitoto. Advertise ukaomba namba ukanirushia muamala mengine yakaendelea. Hakuna nambie nambie...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] mtu anapolazimisha kanuni zake zikubalike na kila mtuElimu unayoitoa ni nzuri, sema humu ndani kuna midundo inabidi uendano nayo la sivyo utavuna mabua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kuoa au kuolewa?
Hujamuelewa, sijui hata nikufafanulie vipi. Yaani unaweza kumuona mwanaume jinsi anavyoiteract ukamuona ni mstaarabu utakavyojaribu kumpm unakuta kafunga.
[emoji23][emoji23][emoji23] mtu anapolazimisha kanuni zake zikubalike na kila mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Amini nakuambia, wanaume wengi wanaonivutia mimi wamefunga PM labda ni mkosi wangu tu, sema yule mmoja sijajaribu bado[emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwingine hujakutana naye popote,Indeed, inapendeza kama mmewahi kukutana kwenye mijadala mbali mbali. Hata ukienda mp, mhusika anakuwa tayari anakujua.
[emoji23][emoji23][emoji23] mtu anapolazimisha kanuni zake zikubalike na kila mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kipimo
Aisee, mimi sijakutuma lakini [emoji16][emoji16]SHIMBA YA BUYENZE mfungulie mrembo huko pm
Hata Mimi huwa najiuliza umri wao.We Saint Anne wewe aiseee!!!! hivi huyu anaendika "pow" au "p" anakua na age ngapi kwa mfano. Hivi mtu alieko kwenye mid thirties anaweza andika "pow" badala ya poa?
Sent using Jamii Forums mobile app