Hahaha naukumbuka si ule wa perimeter alionichamba eti nina shoboMfano wewe nikisoma comment zako napata picha flani ya binti anaejitambua, ila hatabiriki sometimes yes sometimes no!!
Kuna uzi siukumbuki jina niliwahi kuku-mention kwa namna nilivyopenda ulivyo reply. Kile ulichoreply hadi leo nakikumbuka uliandika hivi; "Tafuteni kua na amani na watu wote" hii ni quotation toka kwenye bible sikumbuki mwandishi.
Unaukumbuka huo uzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaa babe wewe unaniita mkuu? Au ndio nimeachwa?Duuhh Mkuu unaonekana wanakuPM sanaNgoja namm nitakuPM
Duh simu janja yako hiyoChunguza vizuri, halafu hapo nilipoandika 402 ilikua mfano tu siku maanisha comment za uzi huu ziko 402.
Hata wewe kuna post nimeona id yako tu sehemu ya comment haipo, mleta mada nae hivyo hivyo anaonekana kapost lakini ujumbe huoni unaona avatar tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha naukumbuka si ule wa perimeter alionichamba eti nina shobo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha mi nakumbuka sana, hata wewe ukiclick vizuri utakumbuka. Na ulirespond positive kabisa.
Hahaha, unataka kusema nini?Ha ha mi nakumbuka sana, hata wewe ukiclick vizuri utakumbuka. Na ulirespond positive kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaaaa ngoja kwanza nikuPM ,tutaongea uko..
Kuna wengine wanaa njaa sanaKuna mdada nilimpm baada ya kusalimiana na maongez ya hapa na pale akadai mtungi wa gesi ,gesi yake imeisha anahitaji 180,000/= nikamwambia nitumie namba yako nikutumie naona mpaka leo kakimbia Sasa sijui alitaka nimtumie kwa njia gani[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
kilicho akilini kitumie
Nitajibu ahsanteIlikua normal conversation ni kama vile mtu akwambie pole,, utamjibuje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habar ya kwako bi mdada???? Mtoto wa handeni asali ya moyo tulizo la nafsi manukato ya nguoni
kilicho akilini kitumie
Sawa mkuuMkuu wavumilie lakini watakujibu.. subira inalipa usipende kuwahisha mambo