Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Mfano wewe nikisoma comment zako napata picha flani ya binti anaejitambua, ila hatabiriki sometimes yes sometimes no!!

Kuna uzi siukumbuki jina niliwahi kuku-mention kwa namna nilivyopenda ulivyo reply. Kile ulichoreply hadi leo nakikumbuka uliandika hivi; "Tafuteni kua na amani na watu wote" hii ni quotation toka kwenye bible sikumbuki mwandishi.

Unaukumbuka huo uzi?



Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha naukumbuka si ule wa perimeter alionichamba eti nina shobo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I wish
IMG-20200323-WA0030.jpeg


Don't make a promise you can't fulfill...
 
Kuna mdada nilimpm baada ya kusalimiana na maongez ya hapa na pale akadai mtungi wa gesi ,gesi yake imeisha anahitaji 180,000/= nikamwambia nitumie namba yako nikutumie naona mpaka leo kakimbia Sasa sijui alitaka nimtumie kwa njia gani[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]

kilicho akilini kitumie
Kuna wengine wanaa njaa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom