Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Hahaha naukumbuka si ule wa perimeter alionichamba eti nina shoboMfano wewe nikisoma comment zako napata picha flani ya binti anaejitambua, ila hatabiriki sometimes yes sometimes no!!
Kuna uzi siukumbuki jina niliwahi kuku-mention kwa namna nilivyopenda ulivyo reply. Kile ulichoreply hadi leo nakikumbuka uliandika hivi; "Tafuteni kua na amani na watu wote" hii ni quotation toka kwenye bible sikumbuki mwandishi.
Unaukumbuka huo uzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app