Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji28][emoji28], mzima lakini? Corona imekuacha salama.?
Mbona kuna sehemu nmeona anaitwa Broo?Ni mwanamke mstaarabu sana huyo akiwa offline
Vipi home boi pamoja na Uzi huu bado haujajibiwa huko mpaka Sasa ??
Kama ni mwamba halafu unatumia jina hilo kuna walakiniUnaniitaje mtoto mzuri whilst hufahamu hata kama mimi ni mwamba.!
Hali ya baba wa taifa ni mbaya sana mkuuVipi home boi pamoja na Uzi huu bado haujajibiwa huko mpaka Sasa ??
Kila jambo linaenda kwa malengo.!
Na malengo yako basi yatakua sio mazuriKila jambo linaenda kwa malengo.!
Mambo slayWanaume wengi hawajielewi kabisa mtu anakuja pm badala ya salamu anaanza oyo uko pande za wapi? **
Hiyo hapo number nitafute whatsap utadhani alininunulie yeye simu **
Mara ooh wewe mrembo sana naomba picha sijui nani kamwambia kuwa nagawa picha
Lugha zenu sio nzuri kabisa !! Halafu wengi kujimwambafai kwingi wakati wanashindia mihogo .....** Badilikeni ....vingine mtakuwa mnakaushiwa sana ...na ukiona mwanamke mrembo jua huyo tayari ana mtu wake
Tafuta na ww wa kwako mtengeneze awe kama unavyopenda
Sent using Jamii Forums mobile app